The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 5,082 Reaction score 20,798 Dec 12, 2019 #1 Wale watumiaji wa Android OS, leo nimefanikiwa kuupdate kwenda Android 10 kutoka Android 9 (pie). Nimeona tu kwenye simu yangu notification ya new software updates. Bado sijaanza kuifurahia ila mwanzo tu naona iko poa.
Wale watumiaji wa Android OS, leo nimefanikiwa kuupdate kwenda Android 10 kutoka Android 9 (pie). Nimeona tu kwenye simu yangu notification ya new software updates. Bado sijaanza kuifurahia ila mwanzo tu naona iko poa.
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,599 Dec 12, 2019 #2 Uko nchi gani mkuu, maana hizo version wanatoa kulingana na nchi, kwa mfano kama China na India mara nyingi wanakua wanapata wao mwanzo hizo updated Sent using Jamii Forums mobile app
Uko nchi gani mkuu, maana hizo version wanatoa kulingana na nchi, kwa mfano kama China na India mara nyingi wanakua wanapata wao mwanzo hizo updated Sent using Jamii Forums mobile app
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,599 Dec 12, 2019 #3 Na hio ni Samsung toleo gani? Sent using Jamii Forums mobile app
The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 5,082 Reaction score 20,798 Dec 12, 2019 Thread starter #4 STRUGGLE MAN said: Uko nchi gani mkuu, maana hizo version wanatoa kulingana na nchi, kwa mfano kama China na India mara nyingi wanakua wanapata wao mwanzo hizo updated Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Niko Bongo mkuu. Hapa Dar es Salaam.
STRUGGLE MAN said: Uko nchi gani mkuu, maana hizo version wanatoa kulingana na nchi, kwa mfano kama China na India mara nyingi wanakua wanapata wao mwanzo hizo updated Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Niko Bongo mkuu. Hapa Dar es Salaam.
The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 5,082 Reaction score 20,798 Dec 12, 2019 Thread starter #5 STRUGGLE MAN said: Na hio ni Samsung toleo gani? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Samsung s10+
STRUGGLE MAN said: Na hio ni Samsung toleo gani? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Samsung s10+
Heisenberg JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,688 Reaction score 2,982 Dec 12, 2019 #6 hiyo samsing vepeee Hakimu Mfawidhi said: Samsing s10+ Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo samsing vepeee Hakimu Mfawidhi said: Samsing s10+ Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Papaa007 JF-Expert Member Joined Sep 4, 2016 Posts 1,105 Reaction score 1,750 Dec 12, 2019 #7 Amna s series ya double line mkuu
sir muel New Member Joined Sep 1, 2019 Posts 1 Reaction score 1 Dec 12, 2019 #8 Hahahahaha samsung s 10+ double line Sent using Jamii Forums mobile app
The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 5,082 Reaction score 20,798 Dec 12, 2019 Thread starter #9 sir muel said: Hahahahaha samsung s 10+ double line Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ndio mkuu.
sir muel said: Hahahahaha samsung s 10+ double line Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ndio mkuu.
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,504 Reaction score 42,579 Dec 12, 2019 #10 Mkuu simu gani unatumia? Hakimu Mfawidhi said: Wale watumiaji wa Android os, leo nimefanimiwa kuupdate kwenda android 10 kutoka android 9(pie). Nimeona tu kwenye simu yangu notification ya new software updates. Bado sijaanza kuifurahia ila mwanzo tu naona iko poa. View attachment 1289967 Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu simu gani unatumia? Hakimu Mfawidhi said: Wale watumiaji wa Android os, leo nimefanimiwa kuupdate kwenda android 10 kutoka android 9(pie). Nimeona tu kwenye simu yangu notification ya new software updates. Bado sijaanza kuifurahia ila mwanzo tu naona iko poa. View attachment 1289967 Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,504 Reaction score 42,579 Dec 12, 2019 #11 Acha ushamba wewe, zipo tele tu Papaa007 said: Amna s series ya double line mkuu Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba wewe, zipo tele tu Papaa007 said: Amna s series ya double line mkuu Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 5,082 Reaction score 20,798 Dec 13, 2019 Thread starter #12 lusungo said: Acha ushamba wewe, zipo tele tu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Achana na mataahira hayo mkuu. Yamezoea tecno yanajuaje bei ya simu za milioni 2 na ushee?
lusungo said: Acha ushamba wewe, zipo tele tu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Achana na mataahira hayo mkuu. Yamezoea tecno yanajuaje bei ya simu za milioni 2 na ushee?
The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 5,082 Reaction score 20,798 Dec 13, 2019 Thread starter #13 Papaa007 said: Amna s series ya double line mkuu Click to expand... Umezoea tecno za laki 2, utajuaje bei ya simu za milioni 2 na ushee? Stay in your lane idiot. Kwa kukusaidia taahira kama wewe ambae hata ku-google hujui, soma hapa wameandika SIM
Papaa007 said: Amna s series ya double line mkuu Click to expand... Umezoea tecno za laki 2, utajuaje bei ya simu za milioni 2 na ushee? Stay in your lane idiot. Kwa kukusaidia taahira kama wewe ambae hata ku-google hujui, soma hapa wameandika SIM
The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 5,082 Reaction score 20,798 Dec 13, 2019 Thread starter #14 sir muel said: Hahahahaha samsung s 10+ double line Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Umezoea tecno, simu kubwa kama hizi huwezi kujua. Endelea kutumia tecno mama angu, haya ambayo huyajui yaache. Jitahidi uende shule uongeze maarifa, usipende kubisha jambo usilolijua,, ni dalili za utaahira.
sir muel said: Hahahahaha samsung s 10+ double line Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Umezoea tecno, simu kubwa kama hizi huwezi kujua. Endelea kutumia tecno mama angu, haya ambayo huyajui yaache. Jitahidi uende shule uongeze maarifa, usipende kubisha jambo usilolijua,, ni dalili za utaahira.
The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 5,082 Reaction score 20,798 Dec 13, 2019 Thread starter #15 lusungo said: Mkuu simu gani unatumia? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu s10+ dual. Nenda kwenye software updates kama simu yako ni unlocked utapata updates.
lusungo said: Mkuu simu gani unatumia? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu s10+ dual. Nenda kwenye software updates kama simu yako ni unlocked utapata updates.
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,504 Reaction score 42,579 Dec 13, 2019 #16 Yangu sijapata labda kwakua nipo Region tofauti Hakimu Mfawidhi said: Mkuu s10+ dual. Nenda kwenye software updates kama simu yako ni unlocked utapata updates. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Yangu sijapata labda kwakua nipo Region tofauti Hakimu Mfawidhi said: Mkuu s10+ dual. Nenda kwenye software updates kama simu yako ni unlocked utapata updates. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,341 Dec 13, 2019 #17 yaani mleta mada anapewa sapot nae anajiona bonge la genius kumbe kiazi mbatata tuu
ashomile JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,914 Reaction score 2,972 Dec 13, 2019 #18 mtuponde tu ila binafsi simu yangu toka nianze kumiliki simu sijawahi zidisha 450K Sent using Jamii Forums mobile app
mtuponde tu ila binafsi simu yangu toka nianze kumiliki simu sijawahi zidisha 450K Sent using Jamii Forums mobile app
The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 5,082 Reaction score 20,798 Dec 14, 2019 Thread starter #19 ashomile said: mtuponde tu ila binafsi simu yangu toka nianze kumiliki simu sijawahi zidisha 450K Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hatuwapondi sema wanakuja mataahira hapa kubisha jambo wasilolijua na kujifanya wanajua.
ashomile said: mtuponde tu ila binafsi simu yangu toka nianze kumiliki simu sijawahi zidisha 450K Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hatuwapondi sema wanakuja mataahira hapa kubisha jambo wasilolijua na kujifanya wanajua.
At Calvary JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 4,557 Reaction score 3,628 Dec 14, 2019 #20 Planett said: yaani mleta mada anapewa sapot nae anajiona bonge la genius kumbe kiazi mbatata tuu Click to expand... KIAZI MBATANI π π π π π
Planett said: yaani mleta mada anapewa sapot nae anajiona bonge la genius kumbe kiazi mbatata tuu Click to expand... KIAZI MBATANI π π π π π