Mama wa Carnival....Tunavyopenda kula sku hizi lazma flat screen zifanye kazi we madukan unaona siku hizi kuna TV za chogooo poooh
Kama wewe sio muhenga, lazima uumize kichwa ili kupata majibuMkuu unajaribu kuongelea nini haswa?
Weka PICHA tujikumbusheWakuu wasaalam
Moja kwa moja kwenye hoja. Usemi wa singida dodoma si usemi mgeni kwa wadau hasa mliokula chumvi nyngi kidogo. Naamini mnaelewa nazungumzia nini.
Lazima nikiri nina miaka mingi sijaonaga hii kitu huko mitaani, imeadimika sana, lakini juzi kati ktk hali ya kushangaza nimeweza kuona hii kitu kuna mrembo alikatiza mbeleni.
Warembo siku hizi huwezi kujua mgongo unaanzia wapi unaishia wapi na kiuno kimeanzia wapi kinakomea wapi. Tako ndo hivo tena limejimix na mgongo ilimradi taabu tupu.
Nikajiuliza inakuwaje vitu hivi vimeadimika sana miaka hii? Tatizi liko wapi wakuu? Itoshe kusema ilipendeza sana.
Mkuu jaman uje malaika kuna bonge pale ana pankiii kama La askar nampenda sanaMama wa Carnival....
Ebu ngoja leo jionj nipite hapo nijionee maufundi ya Allah...[emoji39] [emoji39]Mkuu jaman uje malaika kuna bonge pale ana pankiii kama La askar nampenda sana
uvaaji unachangia pia. zamani mat.a.ko yalikua free sana coz walivaa kyupi, sketi nyepesi (nmeisahau jina ila ilikua na rangi nyeusi) na nguo ya mwisho ya juu saivi wanaanza na taiti ndani (ile chupi ya kubana sana) na nguo za juu znakuwa za kubana vilevile. inafanya matak.o yasiwe huru mkuu.
Hivi vitu vya asili ni adimu sana siku hizi kwa sababu, kwanza hawajifungi kanga kiunoni pia wakivaa hizo nguo zao wanabana nyonga na si kiunoni matokeo yake wanakuwa na "shepu" ya kabati" na wakiwa na "hips" Sasa ndio majanga wanakuwa na 'hips" za mbavu na nyuma zinakuwepo za mgongo, wakiona wamesha haribu wanamtafuta mchina, mkuu Singida Dodoma inapotea taratibuWakuu wasaalam
Moja kwa moja kwenye hoja. Usemi wa singida dodoma si usemi mgeni kwa wadau hasa mliokula chumvi nyngi kidogo. Naamini mnaelewa nazungumzia nini.
Lazima nikiri nina miaka mingi sijaonaga hii kitu huko mitaani, imeadimika sana, lakini juzi kati ktk hali ya kushangaza nimeweza kuona hii kitu kuna mrembo alikatiza mbeleni.
Warembo siku hizi huwezi kujua mgongo unaanzia wapi unaishia wapi na kiuno kimeanzia wapi kinakomea wapi. Tako ndo hivo tena limejimix na mgongo ilimradi taabu tupu.
Nikajiuliza inakuwaje vitu hivi vimeadimika sana miaka hii? Tatizi liko wapi wakuu? Itoshe kusema ilipendeza sana.
Mkuu unajaribu kuongelea nini haswa?