unajua wewe
Blue G una utani, na unajua kabisa sasa hv ni lunch time! sasa mbona chakula sikioni naona alama ya
X nyekundu tu!? au ndio chakula chenyewe!!!!!
bora sikuja na mgeni, ningeambikaje? au ndio njama zako best, pamoja na kukuahidi zawadi nzurunzuri kweli bado unanifanyia hivyo, aibu yangu nitaweka wapi sasa mbele ya mgeni jamani!!!