asingepewa ban moja kwa moja-hata kama alikuwa anaboa au ana matazamo tofauti ya wengi,alitakiwa aachwe tu azungumze,hio ndo cost ya uhuru wa kuongea,si wote watakuwa na point za kufurahisha jamii,MS namchukulia kama hawa vichaa tulionao huku mtaani,hata kama wanatuboa,but ni part ya jamii yetu-hatuwez kuwauwa ka sababu eti wanatuboam as long hata sisi tunaweza boa wengine,bora aachwe nae aseme
Yes kuna freedom of speech lakini MS alikuwa amefikia levels nyingine.Yeye alikuwa mchonganishi tena kwa kutumia udini.Rwanda na Burundi walipochinjana kwa uchochezi wa radio kila mtu anajua makovu yaliyobakia... MS alikosa utanzania. Hatuhitaji kujenga chuki za kidini katika jamii yetu kwa kumfurahisha mtu mmoja.
swala la rwanda na burund ni mambo ya kikabila-though yalipewa support na radio-mimi ninavyodhani MS hakuwa tatizo kubwa hadi kupewa ban ya forever,angepewa ban kwa muda flan hadi zimboe yeye mwenyewe,na kulingana na michango na comments ambazo angekuwa anzpata hapa JF angejikuta anabadilka mwenyewe bila kujijua-sisi ndo tungeweza kumbadilsha awe kama wengineYes kuna freedom of speech lakini MS alikuwa amefikia levels nyingine.Yeye alikuwa mchonganishi tena kwa kutumia udini.Rwanda na Burundi walipochinjana kwa uchochezi wa radio kila mtu anajua makovu yaliyobakia... MS alikosa utanzania. Hatuhitaji kujenga chuki za kidini katika jamii yetu kwa kumfurahisha mtu mmoja.
swala la rwanda na burund ni mambo ya kikabila-though yalipewa support na radio-mimi ninavyodhani MS hakuwa tatizo kubwa hadi kupewa ban ya forever,angepewa ban kwa muda flan hadi zimboe yeye mwenyewe,na kulingana na michango na comments ambazo angekuwa anzpata hapa JF angejikuta anabadilka mwenyewe bila kujijua-sisi ndo tungeweza kumbadilsha awe kama wengine
Anastahili,hata wewe ukienda vibaya utafungiwa..Alizidi bana..Nadhani atakuja kivingine au tayari ameshaingia ila tutamjua tu.Kumfungia MS si ustaarabu wala si demokrasia, This is "where we dare to talk openly"? how comes anafungiwa?
Mgalanjuka huoni kumuondoa ndio kunampa nguvu zaidi ya JF kuonekana sehemu ya wakristo. Na hapo hata sie waislamu tunashindwa kuwatetea maana tutaonekana tumechakachuliwa? Kwanini watu wasimuangalie tu kama kichaa fulani kwani hata mkimuondoa ndio mtazamo wake na baadhi ya watanzania wengine sad to say it. Think deep ndugu
Anastahili,hata wewe ukienda vibaya utafungiwa..Alizidi bana..Nadhani atakuja kivingine au tayari ameshaingia ila tutamjua tu.
Allah unamuogopea nini?ungekuwa unamuogopa ungefanya dhambi?Mimi ntakwenda kama nnavyokwenda kuanzia 2007, ataenifungia anifungie, sina wakumogopa ila mmoja tu. Allah!
Hapo Mzee Mdondoaji unakosea.MS kama ameondolewa si kwa sababu ni mwislam au mkristo ila ni kwa uchochezi wake katika baadhi ya mabandiko.Kuna waislamu wengi na wakristo wengi humu jamvini.Kama kigezo ni dini basi si haki lakini kwa kigezo cha kuvuruga amani hapo that guy has to go..
Mgalanjuka ndugu yangu kumtoa atapata watu wenye kumbeza mie sidhani kama MS alikuwa na tatizo ila namchukulia kama sehemu ya jamii tu. Naamini angelitazamwa tu kama mtu mwenyemtazamo fulani basi nadhani angelibadilika tu baada ya muda fulani. Kumbuka tabia ya mtu kuibadilisha ni ngumu sana hata awe amesoma vp!!!
Habari za uhakika nikwamba yule msumbufu no,1 MS(MARALIA SUGU)Ameng'olewa hapa JF baada yakuonekana mwelekeo wake ulikuwa mbaya wa wakugawa watu!Si raia halali wa JF.Kuanzia leo.