Hatimaye mfalme wa ISIS ameuawa

Kafa? Au kashamaliza lengo wamemrudisha ofisi za mossad sasa kwa ajili ya mission nyengine? Mana nasikia harufu supu kama ya Qatar ivi..... mara hii watambadilisha sura na jina watamwita Abu Bakr Al Doha 😀
Upo sawa
 
Wameshamaliza malengo yao ya kuzipunguza nguvu Iraq na Iran zilikuwa tishio Kwa usalama wa Israel, Pia siku hiz Iran si tishio tena Kama zamani

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Kafa? Au kashamaliza lengo wamemrudisha ofisi za mossad sasa kwa ajili ya mission nyengine? Mana nasikia harufu supu kama ya Qatar ivi..... mara hii watambadilisha sura na jina watamwita Abu Bakr Al Doha 😀
hahahaa aboubakar al doha, aboubakar al tehran hata al riyadh mkuu, mambo yameshakuwa hayaeleweki
 
Huyo kiongozi wa ISIS hajafa bali alichofanya "mission accomplished " huyu alikuwa ni kiongozi aliyetumiwa kuanzisha vita Iraq na Syria na kazi hiyo imekwisha, mbona hatujaona hata maiti yake hii ni mtindo ule ule wa Osama bin Laden kiongozi wa Alqaeda ambaye aliuwawa na maiti yake ikasemekana imezikwa baharini, mbona maiti ya Saddam Hussein na Ghaddafy zilionyeshwa na vyombo vya habari dunia nzima.
 
naona huko alipo saivi atakua anahudumiwa na wale mabikra! eh..kazi ipo!
 
Kafa? Au kashamaliza lengo wamemrudisha ofisi za mossad sasa kwa ajili ya mission nyengine? Mana nasikia harufu supu kama ya Qatar ivi..... mara hii watambadilisha sura na jina watamwita Abu Bakr Al Doha 😀
hahaha
 
Kafiri msidhani mmeshinda,sisi tunapenda kufa kuliko kuishi

Sent from my Infinix_X521 using JamiiForums mobile app

Mngekuwa mnapenda kufa mngefunika nyuso zenu wakati mnafanya matendo yenu ya kishetani?
 
WE NAKWAMBIA UKUTAKA KUJINYONGA UKAPANDA JUU YA MTI UKITUTA NYOKA LAZMA UTOKE NDUI SASA HAWA WANAJIUA KILA SIKU NYANGAU KWELI HAWA

Mkuu unaweza kurudia kusoma then ukaniandikia kwa herufi kubwa pale tu inapobidi. Kweli sijaelewa na inaonyesha umepata moto sana
 
Ukitaka hawa watu wamalizane waaminishe wanapigania dini kisha wape silaha jatachinjana had basi ni mbinu itumiwayo na wayahudi na wamarekani kuwamaliza sababu wanazaa sana hawana hasara.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app

Ha ha haa we jamaaa. Ebu nitajie nchi yoyote ya arab yenye population kubwa kuzidi nchi za marekani na europe

Ebu nitajie nchi yoyote ya arab yenye population kubwa zidi ya africa countries.

Qatar hawafiki 1000000
Emirates hawafiki 3000000
Oman hawafiki 4000000
Saudia hawafiki 10000000
Nk hawafiki 2000000

Sijaelewa unaposema waalabu wanazaa sana.ebu kuwa makini kamanda kabla hujapost
 
Atakuwa kapewa Identity nyingine tu,kuna helcopter za marekani zilikuwa zinatua mosul usiku ku extract asset zao,naye watakuwa wamemhamisha tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maarabu bwana yanachezewa akili na wayahudi yanakubali yanauwana yenyewe kwa yenyewe, na Siku maarabu yakipata akili ni nwisho wa dunia....

Sent from my E4i using JamiiForums mobile app
Hahaha kama sisi na madini yetu
 
hahahaa aboubakar al doha, aboubakar al tehran hata al riyadh mkuu, mambo yameshakuwa hayaeleweki
Si wameona wametuchezea akili, yupo iraq wakampa kabila la Al baghdad ili tuone asili yake ni muiraq na huko kwengine usishangae wakampa jina la mji mkuu kama kabila lake.
 
Jana Pentagon walitoa taarifa kuwa mkuu huyu wa ISIS hajafa.
 
nikiangalia zile video wanazochinjana huwa nawaza sana wana akili za aina gani jinsi balimi na papuche zilivyotamu nikahangaike kujivalisha mabom no ways
Yale majitu ya imani kali yamegeuzwa ma zombie si rahisi yakajijua thamani yao duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…