smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,537
- 11,869
angalizo: mimi sio mtu wa habari za udaku, ila leo najaribu kuanzisha thread kwa kutumia approach ya kiudaku.
twende kwenye mada kuu.
nakumbuka miaka kadhaa iliyopita hapa jf, watu mbalimbali walimfsia sana mbwana samatta kwa kujiweka mbali na wadada "wadangaji wa mujini" hususani wa kutokea tasnia ya bongo movie.
inasemekana kila mbwana samatta anaporudi likizo toka ughaibuni anakocheza soka, wadada maarufu wa mujini huwa wanatumia kila mbinu ili wapate nafasi ya kuwa karibu naye.
licha jitihada hizo, wengi huwa hawampati maana mbwana samatta sio mtu wa kuzurula usiku kwenye kumbi mbalimbali za starehe na akitua tu bongo huwa anajificha kule kwao mbagara mpaka likizo yake iishe.
yaani ni agharabu sana kumuona akishinda mitaa ya kinondoni wanakopatikana wadada wengi wadangaji wa mujini na wakaka "midananda"(wapambe).
ila safari hii naona kama samatta kaenda kinyume na msimamo wake. kwa mara ya kwanza amempost mdada wa bongo movie monalisa.
hii ndio sawa na kusema, wadada wa bongomuvi hawakwepeki kwa vijana wenye pesa. ila shida yao ni moja, ukishaanza kujihusisha nao kimapenzi, mafanikio yako kiuchumi yanaweza kutoweka. ni kama wana gundu hivi.