Ka mimba?Yaani ka mimba tu ndio amerusha instagram!!! ama kweli utandawazi looooh!
Joanah, ni sawa ni jambo jema na kubwa lakini kwanini waanze kuitangaza?! hahhahahah sawa nimekusoma bwana!Ka mimba?
Mimba sio jambo dogo,ni uhai wa mtu ule...ni jambo kubwa sana
Shida kubwa sanaMwaka mmoja ndio imechelewa kujibu? Wengine tuliowahi kukaa mi 3 tusemeje,acheni uchokonoko watanzania tuna shida sie jamani lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui kua mimba siku hizi ni zaidi ya utajiliKa mimba?
Mimba sio jambo dogo,ni uhai wa mtu ule...ni jambo kubwa sana
Ndio mambo yaliyopo siku hizi katika mitandao,wala sio jambo la kulishangaa sanaaJoanah, ni sawa ni jambo jema na kubwa lakini kwanini waanze kuitangaza?! hahhahahah sawa nimekusoma bwana!
Kabisa
Wazazi wa siku hizi wengi wanazaa kwa ajili ya kuonyesha jamii,hawazai kwa ajili ya kukuza familia na furaha zao! Mbio zoote hizo za Ku post ni kuja kuwasuta walimwenguJoanah, ni sawa ni jambo jema na kubwa lakini kwanini waanze kuitangaza?! hahhahahah sawa nimekusoma bwana!