Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,364
- 271,791
Iko wazi sasa kwamba ule utawala wa milele wa ccm kwenye baraza la madiwani ndani ya manispaa hii umefika tamati , kwa mfano ccm ina dalili zote za kushindwa kwenye kata ya chang'ombe ambapo mgombea wa UKAWA Benjamini Ndalichako anang'ara mno mbele ya Noel Kipangule wa CCM ambaye wananchi wamemchoka yeye na chama chake , kwenye kata ya keko ndugu Mohamed Fundi wa UKAWA amemwacha mbali mno Mtawa wa CCM.Ikumbukwe kwamba kwenye kata hii CCM ilipata kiti kimoja tu kati ya vitano kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.