Hatimaye kitabu cha DILI LA DOLA BILIONI NNE chaingia mitaani leo hii

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,464
Guys!
Namshukuru Mungu kwa kufanikisha hili. Kitabu cha Dili la Dola Bilioni Nne nimekabidhiwa, kimeprintiwa vizuri mno, nitaanza kazi ya kuwafikishia wasomaji keaho. Nitaanzia Bunju, Tegeta, Mwenge, Posta, Mbagala, Tandika na Temeke.
Wale wa mikoani kama Dodoma, Morogoro, Zanzibar, Mbeya, Mwanza na Arusha mtalipia 12000 na kitabu kitafika kwa wakala wangu na mtakifuata ila kwa mkoa ambao haujatajwa, utalipia 15000 na utakipata kwenye ofisi za mabasi.
Namba ya kutuma pesa ni 0763986156.

53302344_2698039433571785_8465458537022095360_n.jpg
53806325_2698039843571744_9117211762536480768_n.jpg
53078611_2698039626905099_1349951437093732352_n.jpg
53417220_2698039100238485_1193659737560842240_n.jpg

53764610_2698039263571802_9182408958067867648_n.jpg


53192365_2698039200238475_1157474779825963008_n.jpgCREDIT:Nyemo Chilongani(Facebook)
 
Back
Top Bottom