Historia ipi hiyo ambayo unaipenda? Soma vitabu vya historia, acha kukesha Instagram kwenye umbea ukipost picha za kipuuzi . Ukijifanya mjuaji kwenye masuala ambayo huyaelewi hata kidogo, utajiaibisha bure.The fact is that the Bootlickers Gikuyu killed him to Please their colonial Masters.
Jomo Kenyatta was Muzungu kibaraka, I love History.
May his soul rest in the arms of the Almighty Mwene nyaga. Thaaaiii!
Thaai thathaiya Ngai thaai!May his soul rest in the arms of the Almighty Mwene nyaga. Thaaaiii!
Historia ipi hiyo ambayo unaipenda? Soma vitabu vya historia, acha kukesha Instagram kwenye umbea ukipost picha za kipuuzi . Ukijifanya mjuaji kwenye masuala ambayo huyaelewi hata kidogo, utajiaibisha bure.Field Marshal Dedan Kimathi alikamatwa akiwa hai kisha baadaye akahukumiwa kunyongwa kwenye mahakama feki ya mkoloni kule Nyeri. Wazungu waliposikia amehukumiwa kunyongwa walijawa na furaha na walitaka atiwe kitanzi hadharani, 'in public'. Ila serikali yao jijini London ikakataa kwa uoga wa hasira ambazo kitendo hicho kingeibua, kutoka kwa wapiganaji wa Mau Mau na wakenya kwa ujumla.New Details Emerge on Execution of Dedan Kimathi
Kenyans have sought information of what really transpired in the execution of freedom fighter Dedan Kimathi by the Colonial Government since...www.kenyans.co.ke
Kumbe wazungu wakianza waits watu terrorist kitambo sanaHao wakikuyu wawili kwenye hii Video ndio waliongoza msako wa Dedan Kimathi,
Walamba Matako ya Wazungu, Unafiki wa Gikuyu ni Wa kihistoria,
I love History
'Collaborators' walikuwa 'Homeguards', kikosi cha waafrika vibaraka, wakristo, ambao walitumiwa na mkoloni. Kutoka kwa makabila tofauti ya Kenya, sio wakikuyu tu, tena hawakuongoza chochote, walikuwa wanafata orders tu. Mau Mau waliwaua kwa wingi zaidi ya hata wazungu. Unasahau kwamba Dedan Kimathi alikuwa mkikuyu pia, na nyuma yake wakikuyu wote, zaidi ya 1.5 million, walikula kiapo cha Mau Mau na wote wakafungiwa kwenye concentration camps na kuitwa magaidi. Anyway, hii mada sio ya kikabila kama unavotaka kuifanya iwe.Hao wakikuyu wawili kwenye hii Video ndio waliongoza msako wa Dedan Kimathi,
Walamba Matako ya Wazungu, Unafiki wa Gikuyu ni Wa kihistoria,
I love History
'Collaborators' walikuwa 'Homeguards', kikosi cha waafrika vibaraka, wakristo, ambao walitumiwa na mkoloni. Kutoka kwa makabila tofauti ya Kenya, sio wakikuyu tu, tena hawakuongoza chochote, walikuwa wanafata orders tu. Mau Mau waliwaua kwa wingi zaidi ya hata wazungu. Unasahau kwamba Dedan Kimathi alikuwa mkikuyu pia, na nyuma yake wakikuyu wote, zaidi ya 1.5 million, walikula kiapo cha Mau Mau na wote wakafungiwa kwenye concentration camps na kuitwa magaidi. Anyway, hii mada sio ya kikabila kama unavotaka kuifanya iwe.
Ilikuwa njama ya kum'discredit' Dedan Kimathi, ili dunia nzima na bunge lao la kikoloni kule London lisije likamuita 'freedom figher', yeye na kikosi chake cha Mau Mau. Hila yao ilifanikiwa hadi pale walipoanza kuitisha usaidizi kutoka London ili ndege zidondoshe mabomu kwenye maficho ya Mau Mau Ml. Kenya na Aberdares.Kumbe wazungu wakianza waits watu terrorist kitambo sana
Mzee Jomo Kenyatta alitupwa kororoni na mkoloni kwa miaka tisa! Tena mkoloni hakuwa na nia ya kumuacha huru akiwa hai. Hadi walimletea ndoo za mvinyo kali akiwa kororoni, eti ndio apende pombe na anywe hadi apate ugonjwa wa ini, na afe. Mkoloni alimchukia Mzee Jomo Kenyatta kwasababu mbinu ya kupambana nao aliyoifata, sio ya fujo, ni ile ya kuwaumbua mbele ya dunia kwa maovu ambayo walikuwa wanafanya dhidi ya wakenya. Ndio maana chama cha KCA(Kikuyu Central Association) kilimtuma J.Kenyatta London. Aliishi huko kwa muda akitafuta uungwaji mkono na fedha za kutafuta mawakili na kuwasilisha hoja yake kwenye mahakama na bunge la mkoloni.Kama ni kweli unachokisema,
Kwa nini Jomo Kenyatta (Mkikuyu) alikubali kuwa Kibaraka wa Wazungu?
Humans have no good in themThe fact is that the Bootlickers Gikuyu killed him to Please their colonial Masters.
Jomo Kenyatta was Muzungu kibaraka, I love History.
Humans have no good in them
Dedan Kimathi was, at last, alone.
He had a revolver and six rounds of ammunition. That was all he had in the world, apart from the clothes he wore. But the revolver would not be of much use against the enemy’s automatic patchets. It would not be of much use in hunting, for the noise would only draw the enemy to him. He wandered aimlessly through the forest until night fall when he collapsed with hunger and fatigue and slept.
Just as the enemy predicted, he began thinking of coming out of the forest to the reserves to get some food before he became too weak from hunger. On the evening of the following day, he crept up to the forest edge and spent the night there. The following evening, after wandering along the forest edge and noting how it was guarded, he decided to cross the ditch at the edge of the forest and go into one of the gardens to look for something to eat. He found some sugar cane and some bananas and crawled back into the ditch, then over the side back to the forest. It was his first meal in three days. He got some strength back into his body, and tried to sleep. The following day he heard them, hunting along the forest edge, for they had seen his tracks. He retreated deeper into the forest and sought a place to hide. That night he crossed the ditch again, and crawled into another garden. There were many of them now, and he was lucky to get into the garden unseen. He spent the night in the garden, unable to move, because they were all around. Early at dawn he crawled again towards the ditch, clutching a few more bananas. But while he was trying to climb out of the ditch, they saw him.
A shot rang out and he fell back into the ditch, stunned and wounded in the thigh. He got up again and ran down the trench. In seering pain, he managed to drag himself out of the trench, but collapsed in the undergrowth at the edge of the forest. He touched his thigh and blood covered his hand. He could hear them rushing from all directions, raising a hue and cry. With a sigh, he lay back and put his life in the hand of God.
“It’s all over,” he thought.