Hatimaye Joshua Nasari Aaapishwa

Hongera kamanda J. Nassary watu walikuwa wanasubiri sana ule kiapo leo cha ushindi zidi la kundi la bweha, fisi na mbwa mwitu uliowagaragaza tar.1. kazi ni moja mapambano
 
Well done kijana..Hebu jiulizeni na kuchambua hili, CDM wanaongeza vijana na wasomi kwenye system yao, magamba wanaongeza nini? Vyuo vikuu karibu vyote wako CDM kwa in take zinazo toka na kuingia, je huko mbeleni magamba watakuwa na nini? sababu mtaji wao ni wazee na wanawake wa vijijini. Angalieni mtu yeyote aliyevaa T-shirt na kofia ya magamba jinsi anavyo tembea, kuongea, kula n.k yaani utagundua kuna kitu anapungukiwa katika uwezo wake wa kufikiri. Hauwezi kuwa na akili timamu ukashabikia sisiemu(magamba). Ndio maana humu jamvini kuna mtu aliandika post moja kuwa inahitaji akili ya maiti kuwa sisiemu.
 
Pipooooz Pawaaaaaaaaaaaaa! Dogo Janja do away with Kubwa Jingaaaaz as wako wengi mjengoni!?
 
tuko pamoja mkuu Nasari endeleza jahazi la ukombozi wa nchi hii
 
Kushinda ubunge ni kazi kubwa sana hasa ukiwa kwenye chama cha upinzani, kuapishwa ni furaha na shangwe kazi kubwa mbele kwa Nassary ni kusimamia na kutekeleza ahadi zake kwa wanameru ardhi, maji, barabara elimu na afya na kutatua tatizo la halmashauri kupewa hati chafu kila ukaguzi, kikubwa pia kupambana na rushwa na unyanyasaji unafanywa na polisi wa kituo cha usariver! Ninakutakia kila la heri tupo nyuma yako kamanda wetu!!
 
Hongera kijana HATAHIVYO usijesahau kutekeleza lundo la ahadi ulizotamka mchana kweupe wakati wa kampeni
 
Sio the youngest wako sawa kiumri na Mh. Mkosamali, mbunge wa Muhambwe, Kigoma NCCR-Mageuzi
 
Si kweli mdogo kabisa ni mheshimiwa Felix Mkosamali mwenye miaka 25.
Sio kweli Mh. Mkosamali alizaliwa 1986, kwa hiyo sasa hivi na miaka 26 kama alivyo Nassari kwa hiyo wako sawa kiumri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…