Hatimaye bodaboda wagoma kuburuzwa

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Sibadiliki sifati chama kinachotubuluza nafuata kiongozi bora atakae fanya kazi nzuri asie jisifu kwa lolote anae kula ugali wa kawaida kama mimi na sifa zake zinajulikana kuanzia zamani na sio muigizaji eti ndio aligundua kupanda dala dala na kula kwa mama ntilie leo, siku zote alikua aoni dala dala???? Mama ntilie walikua hawapo zamani? 😄😂😂 watanzania mnachezewa na wasanii watu wapo kimaslahiii msiwe kama nyumbu wa ngoro ngoroo😂😂😂😂😂 hapa ni kazi tu.
 

Hapo sasa ndio ile effect ya Dr. Slaa inaendelea kumla Fisadi anaye panda daladala ili kuwarubuni watu.
 
Sasa wewe ndo wa bodaboda au..??
 
duh sjaelewa habari na kichwa cha habari tofauti
 
Hueleweki wewe,kiswahili chenyewe hujui andika vizuri, .....,"chamakinacho tubuluza",
 
Hapo sasa ndio ile effect ya Dr. Slaa inaendelea kumla Fisadi anaye panda daladala ili kuwarubuni watu.

slaa yupi?au unasema huyu anayeshindia mihogo aaass acha hizo
 
makitoro hapo ni kazi ya undorobo....wewe usifuate wenzako wengi wanafuata...huulizi huyo anayeahidi kujenga barabara wakati mwenyewe alikuwa waziri wa barabara alikuwa wapi kabla? huulizi huyo anayeshangaa dawa hamna hospitali wakati alikuwa serikalini , alikuwa wapi? huulizi ahadi za elimu bure anazitoa sasa alikuwa wapi....watanzania tunataka mabadiliko na tutayapata kutoka ukawa
 
Mna nini nyie? me siwaelewi eti.
 
Nadhani wanaburuzwa na Serikali au nimekosea? Nimekuja mbio nikifikira wamegoma kuburuzwa na serikali.
 
Ulivyoandika hapa unaonekana wewe ndio Nyumbu uliekatwa mkia.
Kama nyie ndio vijana wa CCM, basi hata mgombea nae atakuwa anafanana sana na nyie
 
Sasa wewe ndo wa bodaboda au..??

Alivyo mjinga, eti anaanza na neno "hatimaye".. nilidhani wanabuluzwa na trafiki au tigo. kumbe ni dhana ya ukombozi wao inayotaka kugeuzwa nyuma mbele......ukombozi wao washaujua uko nje ya CCM, watu wamewageuza mradi and nobody sees their tears
 
CCM haijaushinda ujinga (cheki alichopost huyu, hivi huyu alipofanya mtihani wa form four alifaulu kiswahili kweli? au kipengele cha english.. comprehension yenye marks 20
 
Nilijua umeandika cha maana kumbe ni piga debe zombie la maccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…