Ndoa ya Mkeka
Senior Member
- Aug 1, 2014
- 183
- 98
Vijineno vya shombo vilivyozoeleka kupatikana ktk vazi la kanga sasa vimehamia ktk wall status ya watumiaji wa mtandao wa WhatsApp"
1.Unanichunga utaniweza?
2.Bahari hailindwi.
3.Nikuogope binadamu una mbingu ya kunipa?
4.Unaringa unakojoa juice?
Yaani huu mtandao ni mafumbo na vijembe tupu.
1.Unanichunga utaniweza?
2.Bahari hailindwi.
3.Nikuogope binadamu una mbingu ya kunipa?
4.Unaringa unakojoa juice?
Yaani huu mtandao ni mafumbo na vijembe tupu.