Hoja zilizo beba dhana ya maandamono zilikuwa nyepesi mno. 1.5 trn hili swala ni la bungeni sio mitaani. Udikteta hakuna aliyethibitisha udikteta upo Tanzania na ni rais Magufuli ndio anatoa amri hizo. Hoja ya vyama vya siasa kutofanya mikutano, hakuna nchi yoyote ya kidemokrasia inaonya mikutano kama wakati wa kampeni wakatii sio wa kiuchaguzi hata huko Marekani hawafanyi hivyo.Wewe sio mtanzania pekee mwenye upofu wa kuona choo kama dinning ,mpo wengi. Jitu linajua kabisa vitisho vya hali ya juu vilivyofanyika halafu analeta uharo hapa kwamba watu hawajaandamana kwa hiari yao
Sanduku la kura haliwezi kumuondoa jiwe madarakani, tumeona 2015 kilichofanyika, uchaguzi mdogo wa kinondoni. Hivyo 2020 ni impossibleSeptember 2020 sio mbali, wangetumia muda huu kujipanga upya.
Hivi ukiulizwa aliyekuwa amesema kuna maandamano hapa nchini utamtaja? Hauoni umekuwa ni uzuzu kwa serikali kupoteza rasilimali kwa kitu ambacho hakipo! Aibu yako!!!Hoja zilizo beba dhana ya maandamono zilikuwa nyepesi mno. 1.5 trn hili swala ni la bungeni sio mitaani. Udikteta hakuna aliyethibitisha udikteta upo Tanzania na ni rais Magufuli ndio anatoa amri hizo. Hoja ya vyama vya siasa kutofanya mikutano, hakuna nchi yoyote ya kidemokrasia inaonya mikutano kama wakati wa kampeni wakatii sio wa kiuchaguzi hata huko Marekani hawafanyi hivyo.
Wiki moja kwenye siasa ni muda mrefu sana, huwezi juwa labda na yeye itafika 2020 akasema imetosha narudi Chato. Ni binadamu na yeye.Sanduku la kura haliwezi kumuondoa jiwe madarakani, tumeona 2015 kilichofanyika, uchaguzi mdogo wa kinondoni. Hivyo 2020 ni impossible
Wewe sio mtanzania pekee mwenye upofu wa kuona choo kama dinning ,mpo wengi. Jitu linajua kabisa vitisho vya hali ya juu vilivyofanyika halafu analeta uharo hapa kwamba watu hawajaandamana kwa hiari yao
Wenye akili kukuzidi walijua maandamano hayatakuwepo lakini wameweza kuona jinsi serikali kwa kutambua kuwa inatendea mabaya wananchi inavyowaogopa wananchi hao inaowanyanyasa. Umeona ulinzi ulivyokuwa leo?Hoja zilizo beba dhana ya maandamono zilikuwa nyepesi mno. 1.5 trn hili swala ni la bungeni sio mitaani. Udikteta hakuna aliyethibitisha udikteta upo Tanzania na ni rais Magufuli ndio anatoa amri hizo. Hoja ya vyama vya siasa kutofanya mikutano, hakuna nchi yoyote ya kidemokrasia inaonya mikutano kama wakati wa kampeni wakatii sio wa kiuchaguzi hata huko Marekani hawafanyi hivyo.
Hivi ukiulizwa aliyekuwa amesema kuna maandamano hapa nchini utamtaja? Hauoni umekuwa ni uzuzu kwa serikali kupoteza rasilimali kwa kitu ambacho hakipo! Aibu yako!!!
Thubutu! Hukusikia muSEVEN yearsWiki moja kwenye siasa ni muda mrefu sana, huwezi juwa labda na yeye itafika 2020 akasema imetosha narudi Chato. Ni binadamu na yeye.
Nakuhakikishia watanzania sio waoga kama vile watu wanavyofikiri, watanzana wamesha pigana vita vingi sana tena vya misituni na ni wananchi wa kawaida wameshirikishwa kwenye vita hivyo. Kama ni waoga wasinge enda vitani. Kungekuwa na hoja ya maana mimi naamini kabisa watanzania wangejitokeza kutetea hoja zao.Wenye akili kukuzidi walijua maandamano hayatakuwepo lakini wameweza kuona jinsi serikali kwa kutambua kuwa inatendea mabaya wananchi inavyowaogopa wananchi hao inaowanyanyasa. Umeona ulinzi ulivyokuwa leo?
Unadai haki halafu unaogopa vitisho?,Wewe sio mtanzania pekee mwenye upofu wa kuona choo kama dinning ,mpo wengi. Jitu linajua kabisa vitisho vya hali ya juu vilivyofanyika halafu analeta uharo hapa kwamba watu hawajaandamana kwa hiari yao