huyu alikuwa mnoko sana
Alikuwa anaingia darasani akaanza na kukagua usafi na mavazi kwanza ndo afundishe, kama mwalimu wa s/msingi wa zamaaaaaani zilealinichapa below sana wakati niko pale VET ...yaani ana arrogance za kijinga sana huyu mama..bora kapigwa chini...bado kutolewa kwenye ile bodi ya madawa na chakula
alinichapa below sana wakati niko pale VET ...yaani ana arrogance za kijinga sana huyu mama..bora kapigwa chini...bado kutolewa kwenye ile bodi ya madawa na chakula
Kwa nini perreka hajaendelea? au naye ni kama 6
Huenda wewe ulitongoza wale mabinti zake!
Wapi? yule mama ni mnoko ile mbaya! haeleweki kabisa. Mabinti zake uwaone wapi tena? aliwahi kulazimisha ndoa kwa wapenzi fulani baada ya kupeana mimba na ndume akawa anataka kumwacha mdada. akawafungisha ndoa
kweli kabisa walimchoka sana yule mama, maana siku chache tu niliwakuta watu wakisema 'kazidi sana tutaona' sikujua nini wanazungumzia nikajua lbda kumwangusha kikazi. kumbe labda ilikuwa hiyo.Mtwa na Kalamu, huyo ndio Apolinary,asingeweza kuendelea maana ana miaka 2 na miezi 5 tu kustaafu so sheria inambana licha na kutaka kufanya hivyo, SUA watu wamemchoka ngoja arudi VET akaendeleze kukamata MAVET.Leo shangwe huko hilo liko wazi.
Duuu Pereka alikuwaga mkwe wangu zamani, lakini kale katabia kakaingia mpaka kwa watoto wake, nikaingia mitini. Bahati nzuri siku zile nilikuwa nakaa vibandani (off-campus) kwa hiyo nilikuwa silent in-law. Angenijua aisee saa hii JF msingenisoma.
Uwe unaenda kusalimu watoto mlioacha kule vibandani mkuu!
Uwe unaenda kusalimu watoto mlioacha kule vibandani mkuu!
Aisee mimi nimeoa pale pale vibandani (fimbo ya mbali haiui nyoka) mkuu, first sight nikabeba.