Hatimae SUA wapata DVC(AF) mwingine

Tonge

JF-Expert Member
May 7, 2010
696
12
Ni siku, wiki na miezi ilipita kwa Prof Pereka kuwa DVC (AF) na leo hatimaye amemaliza muda wake na Profesa Matovelo ameteuliwa na search team kuwa DVC(AF) mpya wa SUA. Tunampongeza Profesa Pereka kwa uongozi wake imetosha sana na tunamkaribisha Profesa Mtovelo kutuongoza, yale mabaya ya aliyepita aachane nayo na mazuri aendeleze na tunamuomba aangalie maslahi ya watumishi ili angalau wadumu na kufanya kazi kwa bidii.

KILA LA KHERI PROF MATOVELO
 
alinichapa below sana wakati niko pale VET ...yaani ana arrogance za kijinga sana huyu mama..bora kapigwa chini...bado kutolewa kwenye ile bodi ya madawa na chakula
 
alinichapa below sana wakati niko pale VET ...yaani ana arrogance za kijinga sana huyu mama..bora kapigwa chini...bado kutolewa kwenye ile bodi ya madawa na chakula
Alikuwa anaingia darasani akaanza na kukagua usafi na mavazi kwanza ndo afundishe, kama mwalimu wa s/msingi wa zamaaaaaani zile
 
Huenda wewe ulitongoza wale mabinti zake!

Wapi? yule mama ni mnoko ile mbaya! haeleweki kabisa. Mabinti zake uwaone wapi tena? aliwahi kulazimisha ndoa kwa wapenzi fulani baada ya kupeana mimba na ndume akawa anataka kumwacha mdada. akawafungisha ndoa
 
Mtwa na Kalamu, huyo ndio Apolinary,asingeweza kuendelea maana ana miaka 2 na miezi 5 tu kustaafu so sheria inambana licha na kutaka kufanya hivyo, SUA watu wamemchoka ngoja arudi VET akaendeleze kukamata MAVET.Leo shangwe huko hilo liko wazi.
 
Pamoja na unoko wake mabinti zake walikuwa wakali sana! Nilikjuwa naye kwenye kikao kimoja cha harusi mama ni mnoko kweli kweli anahasira zisizo na sababu, ilibakia kidogo kamati tumwachie
 
Mtwa na Kalamu, huyo ndio Apolinary,asingeweza kuendelea maana ana miaka 2 na miezi 5 tu kustaafu so sheria inambana licha na kutaka kufanya hivyo, SUA watu wamemchoka ngoja arudi VET akaendeleze kukamata MAVET.Leo shangwe huko hilo liko wazi.
kweli kabisa walimchoka sana yule mama, maana siku chache tu niliwakuta watu wakisema 'kazidi sana tutaona' sikujua nini wanazungumzia nikajua lbda kumwangusha kikazi. kumbe labda ilikuwa hiyo.
 
Duuu Pereka alikuwaga mkwe wangu zamani, lakini kale katabia kakaingia mpaka kwa watoto wake, nikaingia mitini. Bahati nzuri siku zile nilikuwa nakaa vibandani (off-campus) kwa hiyo nilikuwa silent in-law. Angenijua aisee saa hii JF msingenisoma.
 
Bora maana mama nilikua namwogopa ka ukoma japo hakunifundisha.

Alikuwa anawapangia mabinti nguo za kuvaa kwenye session yake. Ole wako uende asivyotaka.
 
Duuu Pereka alikuwaga mkwe wangu zamani, lakini kale katabia kakaingia mpaka kwa watoto wake, nikaingia mitini. Bahati nzuri siku zile nilikuwa nakaa vibandani (off-campus) kwa hiyo nilikuwa silent in-law. Angenijua aisee saa hii JF msingenisoma.

Uwe unaenda kusalimu watoto mlioacha kule vibandani mkuu!
 
okay so whats nest for Prof. Pereka? Ina maana wakati akiwa DVC Finance alikuwa hafundishi? nakumbuka alinifundisha Animal physiology ila sikuwa na tishio la kukamatwa wala hajawahi kunikamata.....in fact tulikuwa friends

Hivi ana binti zaidi ya mmoja? eti Jafar?
 
Aisee mimi nimeoa pale pale vibandani (fimbo ya mbali haiui nyoka) mkuu, first sight nikabeba.

Safi sana kijana! Mambo ya MUGRO hongera sana. Kuna jamaa waliwazalisha wale waluguru na kuingia mitini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom