Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,353
Leo katika harakati za kuandaa chakula cha usiku nmefanikiwa kupika chapati nzuri
Nashukuru kwa michango yenu kwa namna moja au nyingine
View attachment 429766
Nilikua sijuiUnamiaka mingap?? Ulikuwa hujui kupika chapati
Yapo lakini hawafundishi kwa vitendoDuh hivi siku hivi primary hakuna masomo ya sayansi kimu? Duh hizo mambo mie nilijua nipo darasa la 3 miaka ya 80
[emoji45] [emoji45] kumbe heri yangu Mimi nmejaribuHayo mapishi ya ngano ngano yalishanishinda kabisa
[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Kwanini? Ila nmejitahidi mkuu we hujui tuHaya mapishi hatarii
[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mbona kama ramani ya Afrika mashariki?we ke au me?hazijakaa duara chapati inatakiwa kuwa duara,i dont know taste yake lakin muonekano 0,kama ni me ni nzuri lakin kama ni ke jiandae mumeo kwenda kwa mchepuko maana nashangaa nyumban hamfundishwi kupika mnajifundishia huku?Leo katika harakati za kuandaa chakula cha usiku nmefanikiwa kupika chapati nzuri
Nashukuru kwa michango yenu kwa namna moja au nyingine
View attachment 429766
Umejitahidi[emoji45] [emoji45] kumbe heri yangu Mimi nmejaribu
Mradi ladha ni tamu ukitaka round shape tafuta football.Mbona kama ramani ya Afrika mashariki?we ke au me?hazijakaa duara chapati inatakiwa kuwa duara,i dont know taste yake lakin muonekano 0,kama ni me ni nzuri lakin kama ni ke jiandae mumeo kwenda kwa mchepuko maana nashangaa nyumban hamfundishwi kupika mnajifundishia huku?
Taratibu nitaanza kutengeneza mduara vizurilol! Hahahahaha Evelyn Salt chapati zake mwanzoni zilikuwa zina muonekano kama huu na mwenyewe akasema mduara kawaachia mamodel ila siku hizi mduara naye anauweza sana. Nadhani nimeeleweka.
[emoji85] [emoji85] asanteInsha Allah jitahid utaweza zaid
Nmejifunza kwakusoma alafu ndiyo nmefanya kwa vitendo sasaMbona kama ramani ya Afrika mashariki?we ke au me?hazijakaa duara chapati inatakiwa kuwa duara,i dont know taste yake lakin muonekano 0,kama ni me ni nzuri lakin kama ni ke jiandae mumeo kwenda kwa mchepuko maana nashangaa nyumban hamfundishwi kupika mnajifundishia huku?
Taratibu nitaanza kutengeneza mduara vizuri