Kuna mtu namdai 1.5mil na bado ananisumbua.
Wewe kama mimi ...konagoliao ndo wanasababisha tushindwe kusaidiana, binafsi ntamkopesha mtu lakini kwa pesa ambayo kama ikipotea haitaathiri mipango yangu ata kidogo.
Kuna wakat unaweza kufikiri unamkomoa mtu kumbe kuna mambo ya msingi ataenda kujifunza. Ukimlaza ndani au akikaa maabusu kidogo anaweza kutoka akiwa na akili nyingine mpaka ukashangaa.Habarini za mdahuu,..ngoja niende moja kwa moja kwenye mada..kuna kijana nilimkopesha kiasi Cha pesa Kama laki mbili..kwa matarajio ya kurudisha baada ya miez miwili. Matokeo yake mwaka Sasa unakaribia kukata,..tangu mwezi wa 3 jana Hadi hivi leo 2020..
Leo nimeona isiwe kesi nikampeleka kituoni ili tuandikishiane,.hela yangu ataileta lini..nimeshukuru amekubali kuwa namdai..na ameandika tarehr ya kuleta pesa yangu..
akikiuka agizo inabidi alale ndani hata siku tatu tu ilia ashike adabu..
N:B ukitaka ubaya dai chako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi zetu ya amani,Sana,ingekuwa Ni kwingine,tuseme italy,ukikopa utalipa tu labda uwe hujipendiukitoa pesa kwa mtu akakuzima,ukaenda polisi akakubali kwamba unamdai.my friend kunywa maji mengi.
maana polisi au kwa mjumbe mmeenda kuandikishana malipo,anaweza sema uwezo alio nao ni kukupa elfu 15 kila mwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app