Sawa kila la kheriHapana nimedhamilia kabisa kufanya mazoezi non stop
Unaweza kufanya mazoezi km lishe yako duni utabaki palepale.hepuka vyakula vya wanga na sukari hipo siku utarudisha feedbackHabari wana jamvi.
Leo nimeanza kutimiza ile adhima yangu ya kuhakikisha heshima haipotei nyumbani kwangu. Nimeanza kwa mazoezi ya kukimbia, nimepiga push up 3, sit up 4 na mzaozi mengine ya viungo. Naomba wataalam wa mazoezi wanipe maelekezo zaidi ili niwe fit kwa muda mfupi. Halafu mazoezi bana yana raha yake nimejilaumu kwanini sikuanza zamani, yaani njiani unakutana na mizigo ya kufa mtu halafu imevaa taiti tu. Yaani nimesafisha macho achilia mbali kujenga mwili na nahidi sitoacha kufanya mazoezi, kumbe watu wanafaidi halafu hata hatuambiani tunaambiana mambo ya kitapeli tu.
Halafu leo nimepita eneo moja nimekuta tangazo wanauza juisi ya mbakola, mwenye uelewa nahii juisi anipe maelekezo, maana mi mtaalam wa kuonja onja, ila siku hizi nimeacha baada y kuingia mkenge kuonja juisi ya kitunguu swaumu, nilijuta siku hiyo nikasikitikia hela yangu
Toa location mkuu maana wengine tunakutana na makundi ya joging tuWe amka saa 11 asubuhi kimbia tu barabarani, utakutana na neema hizo, hasa maeneo ya taiafa
Habari wana jamvi.
Leo nimeanza kutimiza ile adhima yangu ya kuhakikisha heshima haipotei nyumbani kwangu. Nimeanza kwa mazoezi ya kukimbia, nimepiga push up 3, sit up 4 na mzaozi mengine ya viungo. Naomba wataalam wa mazoezi wanipe maelekezo zaidi ili niwe fit kwa muda mfupi.Halafu mazoezi bana yana raha yake nimejilaumu kwanini sikuanza zamani, yaani njiani unakutana na mizigo ya kufa mtu halafu imevaa taiti tu. Yaani nimesafisha macho achilia mbali kujenga mwili na nahidi sitoacha kufanya mazoezi, kumbe watu wanafaidi halafu hata hatuambiani tunaambiana mambo ya kitapeli tu.
Halafu leo nimepita eneo moja nimekuta tangazo wanauza juisi ya mbakola, mwenye uelewa nahii juisi anipe maelekezo, maana mi mtaalam wa kuonja onja, ila siku hizi nimeacha baada y kuingia mkenge kuonja juisi ya kitunguu swaumu, nilijuta siku hiyo nikasikitikia hela yangu
Hahhhha wee jamaa angalia usanguke unavyoangalia tightHabari wana jamvi.