Mtoto wa upanga huyo
Acha awa tindue ss si wanatuona wahuni wanawashobokea hao kumbe wanaliwa wanaachwa,hawajui kama wahuni masela ndy wako real wao madem wanataka mtu wake awe na status sjui yuko benki etc
Sisi wazushi watu wa dealπππ

Sisi wazushi watu wa deal
Ujue dili za hapa na pale ukiotea moja tu watu wnatafutana labda uwe sio muhuni, nakumbuka ziliwahi kupigwa contena za pipi jamaa baada ya mgao wakaibuka na maajabu ya kutisha hadi leo watu hawawafikii