Basi wote wana akili. Walikula ujana vizuri, wakati ulipofika wakatulia. Sio wengine wanakimbilia ndoa halafu wanaanza kupiga gemu za nje wakiwa ndani ya ndoa.
Basi wote wana akili. Walikula ujana vizuri, wakati ulipofika wakatulia. Sio wengine wanakimbilia ndoa halafu wanaanza kupiga gemu za nje wakiwa ndani ya ndoa.
Una uhakika katulia ?.Kama haujui hamna watu wanaojua machimbo yalijificha na kutulia kama watu walioa ,ili asijulikane na mkewe akiwa na michepuko yake,anapiga matukio yake akirudi kimya.
Wadau humu full kulaani kama wachawii vile.. wa baba mmoja na mama mmoja.. ni kuombea mabaya tu na kukatisha tamaa sipati picha hiyo manzi ikipitia huu waya