Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,711 Reaction score 1,738 Apr 30, 2018 #1 Wakuu, sijasikia hitimisho la kurejeshwa timu ya U17 ya Zanzibar kwa tuhuma ya kukiuka umri wa baadhi ya wachezaji kwenye michuano ya CECAFA iliyomalizika hivi karibuni nchini Burundi. Palikuwa na povu jingi kwa upande wa SMZ.
Wakuu, sijasikia hitimisho la kurejeshwa timu ya U17 ya Zanzibar kwa tuhuma ya kukiuka umri wa baadhi ya wachezaji kwenye michuano ya CECAFA iliyomalizika hivi karibuni nchini Burundi. Palikuwa na povu jingi kwa upande wa SMZ.
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,474 Reaction score 206,022 Apr 30, 2018 #2 Kwani kuna vijeba vilivyo bainika humo?
Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,711 Reaction score 1,738 Apr 30, 2018 Thread starter #3 Davet said: Kwani kuna vijeba vilivyo bainika humo? Click to expand... Timu nzima ilirejeshwa nyumbani kwa kosa la umri mkuu.
Davet said: Kwani kuna vijeba vilivyo bainika humo? Click to expand... Timu nzima ilirejeshwa nyumbani kwa kosa la umri mkuu.
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,474 Reaction score 206,022 Apr 30, 2018 #4 Jacobus said: Timu nzima ilirejeshwa nyumbani kwa kosa la umri mkuu. Click to expand... Kwani hii CECAFA inatambuliwa na FIFA?
Jacobus said: Timu nzima ilirejeshwa nyumbani kwa kosa la umri mkuu. Click to expand... Kwani hii CECAFA inatambuliwa na FIFA?
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,880 Reaction score 12,635 May 1, 2018 #5 Wazoe va kunyonga va kuchinja ..........