Richard chilongani JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 324 Reaction score 112 May 6, 2017 #1 Keko Kuna shimo kubwa barabarani kwanza ni hatari kwa Gari kupinduka lakini pia foleni wenye mamlaka mpo wapi mahali penyewe ni keko fenirture
Keko Kuna shimo kubwa barabarani kwanza ni hatari kwa Gari kupinduka lakini pia foleni wenye mamlaka mpo wapi mahali penyewe ni keko fenirture
Richard chilongani JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 324 Reaction score 112 May 6, 2017 Thread starter #2 Au mkisikia dcm mbagala makumbusho lime dondoka Tuanze kutafuta mchawi nani kumwaga kifusi tu shídaa ndooo maana mheshimiwa anawatumbua Maana wabongp vichwa maji.
Au mkisikia dcm mbagala makumbusho lime dondoka Tuanze kutafuta mchawi nani kumwaga kifusi tu shídaa ndooo maana mheshimiwa anawatumbua Maana wabongp vichwa maji.
gollocko JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 2,945 Reaction score 2,283 May 6, 2017 #3 Fagio la vyeti limewakumba
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 43,315 Reaction score 51,758 May 6, 2017 #4 Richard chilongani said: Keko Kuna shimo kubwa barabarani kwanza ni hatari kwa Gari kupinduka lakini pia foleni wenye mamlaka mpo wapi mahali penyewe ni keko fenirture Click to expand... Alipokuwa akizindua kampeni mwaka 2015 alisema watakaosema mchakato, atawaambia wakafanyie mchakato majumbani kwao, hilo shimo limelalamikiwa siku nyingi je lipo kwa maslahi ya chama gani
Richard chilongani said: Keko Kuna shimo kubwa barabarani kwanza ni hatari kwa Gari kupinduka lakini pia foleni wenye mamlaka mpo wapi mahali penyewe ni keko fenirture Click to expand... Alipokuwa akizindua kampeni mwaka 2015 alisema watakaosema mchakato, atawaambia wakafanyie mchakato majumbani kwao, hilo shimo limelalamikiwa siku nyingi je lipo kwa maslahi ya chama gani
Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,606 Reaction score 3,676 May 6, 2017 #5 Kumbuka Keko iko wilaya ya Temeke...... na wakazi wake kwa asilimia kubwa ni wanachama wa ama CUF au Chadema.... Hivyo swala lolote kuhusiana na MAENDELEO watajiletea wao wenyewe..... Hakuna barabara mpya Keko wala ukarabati toka 2010...
Kumbuka Keko iko wilaya ya Temeke...... na wakazi wake kwa asilimia kubwa ni wanachama wa ama CUF au Chadema.... Hivyo swala lolote kuhusiana na MAENDELEO watajiletea wao wenyewe..... Hakuna barabara mpya Keko wala ukarabati toka 2010...