Hayo madhara yanategemea mtu na mtu, kwa mfano mimi kupitia Facebook nimeweza kuwapata marafiki zangu wa zamani na nimeweza hata kupata madili kutoka kwa hao watu,, kila siku huwa na-log in kucheki kama kuna update ya maana na ku-log out kama hakuna.. Ingawa wakati mwingine inashangaza unakuta mtu ame-update status yake, Mfano: "Leo nimekula ugali maharage, ni mtamu kweli" au "haters go to hell" na unakuta comments kibao zinamsapoti... Hao ndiyo wameathirika labda.