Mkuu huyo jamaa ni boya tu sababu anavyotizama zile missile zinafanana na matanki basi akisikia Tanks ndio Anajua hizo msamahe tu ajui aongeacho... mwambieni Tanks no vifaruMkuu tanks zitaendaje Marekani?
Tanks ni vifaru kijana achana na issue usizoziwezaKama Russia ana tanks na anasita kustrike Washington, bas hizi ni sarakas za Pyongyang yaan mpaka wasubir wadevelop ndipo wastrike?
Kwa Saddam Hussein watu wa dunia.
kwa hiyo na utumbo alioufanya marekani kupeleka aircraft cariers na mpaka sasa zimebweteka ras ya korea huuoni? Israel waoga tu. si wanamuonea syria kwa kuwa wanajua ubavu hana. Mbona hawajampiga Iran? mbona hawamsaidii US kumadhibu kiduku? hacha ushabiki mandazi mkuu.Kwani kutengeneza silaha na kuisifia eti hii inaweza kufika texas,uk na france hii maana yake nin? Bila shaka ukiona mtu anakukandia jua anakuheshm ila anajikosha tuu...utumbo anaofanya NK ndo huo Moscow anafanya...Israel hafanyagi show lakn kilasiku Damascus wanalia hawa ndo wanaume
anafikiri tanks is something too special, ambazo zinamilikiwa na majeshi bora tu[emoji85] [emoji85] aibu sanaMkuu tanks zitaendaje Marekani?
kwani nchi zingine hazinaga tanks? au unafikiri tanks ni makombora ya masafa marefu!!?Kama Russia ana tanks na anasita kustrike Washington, bas hizi ni sarakas za Pyongyang yaan mpaka wasubir wadevelop ndipo wastrike?
Duh umepuyanga balaa,Kama Russia ana tanks na anasita kustrike Washington, bas hizi ni sarakas za Pyongyang yaan mpaka wasubir wadevelop ndipo wastrike?
Just a matter of time,Dogo janja anacho kitafuta atakipata.
Ili wafaidike niniMarekani wana tumia nguvu nyingi kutuaminisha NK wanatishia amani ya ulimwengu.
Wenye akili we are not buying this crap.
Kwa Saddam Hussein watu wa dunia ya tatu walinukuu hata misahafu wakidai safari hii Marekani kaingia choo cha kike na kwamba vita ambavyo vingetokea ni mother of all battles. Wako askari wa Saddam waliojuliakana kama Republican Guards ambao ilidaiwa wangewaonesha cha mtema kuni wanajeshi wa Marekani na kwamba jangwa lingegeuka jehanamu na kutiririka damu!
Saddam Hussein enzi zake akitamba!
Wako walioenda mbali zaidi na kutabiri mwisho wa dunia wakinukuu aya kwenye misahafu iliyotabiri kutokea mvaa kilemba wa mashariki ya Kati ambaye angeifuta Marekani kwenye uso wa dunia. Bila shaka vijana ambao hivi sasa wanamshabikia huyo mnyoa kiduku wa NK walikuwa bado kuzaliwa. Kwa kufupisha hadithi ndefu ni kwamba operation desert storm ilipotangazwa dunia ilisimama.
Saddam Hussein na kilemba.
Ghafla anga lote la Iraq likafunikwa kwa wingu jeusi la mawimbi ya redio na Warusi waliotabiriwa kumsaidia Sadam wakakunja mikia na kumuacha Saddam akicharazwa kama mtoto mdogo. Republican Guards wake wakasambaratika wakitafuta pa kujificha wasipaone. Marekani, kwa moyo wa huruma akasema imetosha, akamkanya na kumuonya asirudie na hivo kumuacha Saddam akikusanya vyake.
Miaka michache baadaye Saddam kwa ama utundu au ujinga akasahau akaanza tena chokochoko na safari hii Mmarekani akaapa kutomuonea tena huruma. Masikini Saddam, baada ya kukosa pa kukimbilia akaishia shimo la panya kujisetiri kuepuka vipondo. Lakini hata huko alitafutwa na siku anatolewa shimoni macho yalikuwa hayaoni baada ya kukaa gizani miaka yote hiyo.
Endeleeni kukidanganya hicho kitoto cha NK! Historia hujirudia...nyie vita muisikie tu ila mkae mkijua kwamba Marekani wako mazoezini miaka yote toka vita vikuu vya dunia vya pili.
Saddam Hussein akitolewa shimoni alikojificha!
Huyo team Israel,,ye hata ikitokea Israel inataka kushambulia Taifa lake,basi ye atakuwa upande wa Israel ili akale ubwabwa na YesuUmelogwa wewe !!!
Kuna watu wamelogwa na uchawi wa maabara mkuu ndio kama huyo ata watoto wake watakuwa hivyo hivyo!Huyo team Israel,,ye hata ikitokea Israel inataka kushambulia Taifa lake,basi ye atakuwa upande wa Israel ili akale ubwabwa na Yesu
Mkuu tanks zitaendaje Marekani?
Umetumia kigezo gani kilicho kufanya North Korea uifananishe na Iraq...?Kwa Saddam Hussein watu wa dunia ya tatu walinukuu hata misahafu wakidai safari hii Marekani kaingia choo cha kike na kwamba vita ambavyo vingetokea ni mother of all battles. Wako askari wa Saddam waliojuliakana kama Republican Guards ambao ilidaiwa wangewaonesha cha mtema kuni wanajeshi wa Marekani na kwamba jangwa lingegeuka jehanamu na kutiririka damu!
Saddam Hussein enzi zake akitamba!
Wako walioenda mbali zaidi na kutabiri mwisho wa dunia wakinukuu aya kwenye misahafu iliyotabiri kutokea mvaa kilemba wa mashariki ya Kati ambaye angeifuta Marekani kwenye uso wa dunia. Bila shaka vijana ambao hivi sasa wanamshabikia huyo mnyoa kiduku wa NK walikuwa bado kuzaliwa. Kwa kufupisha hadithi ndefu ni kwamba operation desert storm ilipotangazwa dunia ilisimama.
Saddam Hussein na kilemba.
Ghafla anga lote la Iraq likafunikwa kwa wingu jeusi la mawimbi ya redio na Warusi waliotabiriwa kumsaidia Sadam wakakunja mikia na kumuacha Saddam akicharazwa kama mtoto mdogo. Republican Guards wake wakasambaratika wakitafuta pa kujificha wasipaone. Marekani, kwa moyo wa huruma akasema imetosha, akamkanya na kumuonya asirudie na hivo kumuacha Saddam akikusanya vyake.
Miaka michache baadaye Saddam kwa ama utundu au ujinga akasahau akaanza tena chokochoko na safari hii Mmarekani akaapa kutomuonea tena huruma. Masikini Saddam, baada ya kukosa pa kukimbilia akaishia shimo la panya kujisetiri kuepuka vipondo. Lakini hata huko alitafutwa na siku anatolewa shimoni macho yalikuwa hayaoni baada ya kukaa gizani miaka yote hiyo.
Endeleeni kukidanganya hicho kitoto cha NK! Historia hujirudia...nyie vita muisikie tu ila mkae mkijua kwamba Marekani wako mazoezini miaka yote toka vita vikuu vya dunia vya pili.
Saddam Hussein akitolewa shimoni alikojificha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kim kashaongea kuwa yeye sio muarabu, usiifananishe north korea ya sasa na iraq ya kipindi kile ni vitu viwili tofauti. Sadaam alibugi kuwaruhusu wamarekani waje kukagua siraha zake na walipoona udhaifu wake hawakulemba na wakafanya mashambulizi ya mshangao.usifikili bwaba kim atayarudia matapishi aliyoyaacha sadaam husein.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo team Israel,,ye hata ikitokea Israel inataka kushambulia Taifa lake,basi ye atakuwa upande wa Israel ili akale ubwabwa na Yesu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna watu wamelogwa na uchawi wa maabara mkuu ndio kama huyo ata watoto wake watakuwa hivyo hivyo!
Haswa wale wanao pewaga kale kamkate na kiongozi wao