Hatari ya kipindupindu

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,436
2,201
Wanajamii,sijui ni ushamba wangu au sijui ni kutoelewa.Katika mapenzi siku hizi kama mwanamke au mwanaume hawaja nyonyana sehemu za siri basi penzi halijakamilika,sasa kwa wale wanaolamba wanawake sehemu zao za siri hasa uke ambao upo karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa hamuoni kuna hatari ya watu kupata kipindupindu?wengine wanaenda mbali sana hadi kulamba sehemu ya haja kubwa ya wanawake hamuoni inaweza kuleta kipindu pindu
 
Member wanapita kimya kimya..., yaan wanachungulia uzi na kusepa.. Hahahhahahaa
 
Wanajamii,sijui ni ushamba wangu au sijui ni kutoelewa.Katika mapenzi siku hizi kama mwanamke au mwanaume hawaja nyonyana sehemu za siri basi penzi halijakamilika,sasa kwa wale wanaolamba wanawake sehemu zao za siri hasa uke ambao upo karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa hamuoni kuna hatari ya watu kupata kipindupindu?wengine wanaenda mbali sana hadi kulamba sehemu ya haja kubwa ya wanawake hamuoni inaweza kuleta kipindu pindu
Mtaumbuka na Jiji lenu la hovyo Hilo 😁😁

View: https://www.instagram.com/p/CzQ05GXtmQG/?igshid=MTkycG1qdmY4NnJqeQ==
 
Back
Top Bottom