Hatari Sana.

Nikiangalia T-shirt, Shati hasa kwenye kola, na Suruali ya Abiria wa kiume na mwonekano wake wote kwa ujumla....
Then nikitazama Dereva Mzula kichwani, na vile alivyo...
Inaonekana Dada kaleweshwa (Drug's) then katekwa......
Nahisi pia wamesimamishwa na Police...
Ni barabarani, naona Dereva akivua Element, kama ameambiwa toa Element tuone sura, pia naona mshangao wa Abiria ....!
Nahisi hii ni Kenya.
 

Dah unajua kusoma lugha ya picha aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…