Da pole sana kaka mi ilinitokea Sinza siku moja kwenye lodge moja hivi. Nilikuwa na Shem wenu ndani ya chumba tukagombana coz ma gal alikuwa anawivu sana.
Baada ya kugombana nikabidi mi nisepe zangu nikaona hamna dalili ya kupata mzigo hapa but kipindi naondoka Shem wenu alikuwa yupo anaoga.. Mi nipo njiani nakaribia pale meeda nikaona kundi kubwa la watu km 10 hivi wananifata na kuita mwizi mwizi mi nikashangaa vp. Ghafla namuona mlinzi wa lodge anasema kuna demu mmoja Anasema umemwibia pochi yenye laki 2..watu baada ya kusikia hivyo wakaanza kunipiga mdogo mdogo kwamba lazima tukuchome wewe, watu wakawa wanaongezeka na kipondo kinaongezeka yani sipati hata muda wa kujitetea.
Mara gafla akatokea jamaa mmoja tulipiga naye mzumbe chuo amani Mimi mtu huyu namjua twendeni turudi lodge Kwa huyo binti aliyeibiwa, basi tukarudi watu kama 20 ivi hapo nishapigwa sana jamani.. Tukafika guest house pale, Dada wa reception akasema yule msichana kaondoka sasa hivi kafatwa na mwanaume akiwa na gari..kuhusu pochi kumbe kaiona ilikuwa chini ya mto. Sitoisahau that day
Sasa sisi tutajuaje kama sio mwizi kweli?Kwani mwizi ana rangi gani?
Jali njia kuu, epuka michepuko mzee!Da pole sana kaka mi ilinitokea Sinza siku moja kwenye lodge moja hivi. Nilikuwa na Shem wenu ndani ya chumba tukagombana coz ma gal alikuwa anawivu sana.
Baada ya kugombana nikabidi mi nisepe zangu nikaona hamna dalili ya kupata mzigo hapa but kipindi naondoka Shem wenu alikuwa yupo anaoga.. Mi nipo njiani nakaribia pale meeda nikaona kundi kubwa la watu km 10 hivi wananifata na kuita mwizi mwizi mi nikashangaa vp. Ghafla namuona mlinzi wa lodge anasema kuna demu mmoja Anasema umemwibia pochi yenye laki 2..watu baada ya kusikia hivyo wakaanza kunipiga mdogo mdogo kwamba lazima tukuchome wewe, watu wakawa wanaongezeka na kipondo kinaongezeka yani sipati hata muda wa kujitetea.
Mara gafla akatokea jamaa mmoja tulipiga naye mzumbe chuo amani Mimi mtu huyu namjua twendeni turudi lodge Kwa huyo binti aliyeibiwa, basi tukarudi watu kama 20 ivi hapo nishapigwa sana jamani.. Tukafika guest house pale, Dada wa reception akasema yule msichana kaondoka sasa hivi kafatwa na mwanaume akiwa na gari..kuhusu pochi kumbe kaiona ilikuwa chini ya mto. Sitoisahau that day
poleni sana! Naomba kuwaleteeni hiki kisa cha kusikitisha; ilikuwa mwaka jana jamaa yangu na rafiki yangu tulisoma naye o'level huko mara katika harakati za maisha alikuja dsm sasa huo mwaka jana alikuwa na biashara ya butcher na kijana mmoja katika kukosa uaminifu wakadhurumiana na mdhumiwa akiwa rafiku yangu anaitwa frenk warioba. Sasa mkakati ukaundwa na huyo mshirika wake akaitwa na rafiki yake maeneo ya ving'ung'uti kuwa akamlipe pesa yake aliondoka tabata akamuaga mke wake ambaye ana mtoto mmoja. Kumbe mdaiwa wake alikuwa ameandaa raia kuwa kuna jambazi sugu anakuja kufanya uharifu kwa hiyo atamuita na wasifanye kosa zaidi ya kumuua. Mara akapigiwa simu akaenda mara kufika tu maeneo aliyoelekezwa akavamiwa na watu kuanza kumpiga huku wakimwitia jambazi!jambazi! Alipigwa mpaka akawa ameishiwa nguvu. Mwisho akapewa simu aongee na ndugu yeyote ndo akampigia simu mama yake aliye kuwepo musoma mara akamwambia mama nauliwa mimi mwanao nimepaziwa mwizi...! Mama yake huku akisikia makelele mara wakamnyanganya simu jamaa wakamfunga mataili ya magari wakamwagia petroli wakamchoma moto akiwa hai. Nasimulia kama hadithi but it happened hapa dsm mwaka jana. Kibaya zaidi yeye alikuwa mtoto peke yake kwa mama yake ambaye ni mjane. Na kingine mjane huyo akufanya lolote maana ana uwezo wa kufuatilia kifo cha mtoto wake mmoja ili haki itendeke... Kiukweli nilipoambiwa maswaubu ya kifo cha rafiki yangu iliniuma sana na nikamuhurumia na mama mjane na mzee aliyempoteza mtoto wake mmoja na pekee. Kama ugushwa na mkasa huu sema amina kwa marehemu na mama huyu mjane mwenye uchungu mkubwa moyoni mwaje.
Lakini pole sana, maana sipati picha moyo ulivyokua unakwenda kasi kama magari ya langa langa.,
dah nimeumia sana.inasikitisha pole mama.
Nawe piaamina...! Ubarikiwe.
Moja ya story zilizotungwa hakuna kitu kama hicho.