jeshi la mtu moja
Member
- Oct 19, 2016
- 86
- 35
Napenda kujua kwanini marekani anamamlaka kumwekea nchi yoyote duniani vikwazo vya uchumi?anayejua anijulishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pmNapenda kujua kwanini marekani anamamlaka kumwekea nchi yoyote duniani vikwazo vya uchumi?anayejua anijulishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi?kwani nchi zingine zikiungana kama russia China na nchi za ulaya kumwekea marekani vikwazo,he haiwezekani?hapo kuna niniaKwa sababu ni police Wa dunia