Top Thinker
Senior Member
- Sep 8, 2011
- 183
- 125
Habari za wkt huu mabibi na mabwana!!ebana,kuna shori mmoja hvi yuko mwaka wa kwanza hapa ud,nlimpgaga sound tangu last semister,akawa kaingia line bt akawa ananchomolea kunionjesha tunda,sasa juzi kati hvi natoka zangu mkoan si nikameet nae hapa chuo,nkamkumbushia lile suala langu la kumtafuna,akawa kakubali,ila alchonishangaza,akaniambia kama nataka kumtafuna bac nisitumie zana{condom} na sababu aliyoniambia tu ni kwamba hapendi kutumia hzo mambo..sa mie nkajzngusha wee,thn nkampotezea,lakn yeye bado ananikumbushia na leo kaniuliza kama nlikua namzngua au vip?sasa wakuu wangu,huyu mmanzi,nimueleweje,au anataka kuniua mwenzenu?
changanya na za kwako..Take care usije angukia pua, achana nae.
hilo nalo neno....!!!!hiyo rahisi sana mbona, ye si kakupa condition, na wewe mpe condition mwambie mkapime. Sikuiz majibu yanatoka fasta tena siku hiyo hiyo usiku wake mnabanjuka. Kasheshe kama na wewe unaogopa vipimo....mweeeeeh
hilo nalo neno....!!!!
Kuna window'period wakuu...unaweza kuta kitu negative kumbe kirusi ipo mwilini........
Hiyo rahisi sana mbona, ye si kakupa condition, na wewe mpe condition mwambie mkapime. Sikuiz majibu yanatoka fasta tena siku hiyo hiyo usiku wake mnabanjuka. Kasheshe kama na wewe unaogopa vipimo....mweeeeeh
Parapanda italia parapanda...parapanda!!!X 4...na wateule watakuwa wamekwisha nyakuliwa...kwenda...kumlaki bwana Yesu mawinguni....!!!!!Habari za wkt huu mabibi na mabwana!!ebana,kuna shori mmoja hvi yuko mwaka wa kwanza hapa ud,nlimpgaga sound tangu last semister,akawa kaingia line bt akawa ananchomolea kunionjesha tunda,sasa juzi kati hvi natoka zangu mkoan si nikameet nae hapa chuo,nkamkumbushia lile suala langu la kumtafuna,akawa kakubali,ila alchonishangaza,akaniambia kama nataka kumtafuna bac nisitumie zana{condom} na sababu aliyoniambia tu ni kwamba hapendi kutumia hzo mambo..sa mie nkajzngusha wee,thn nkampotezea,lakn yeye bado ananikumbushia na leo kaniuliza kama nlikua namzngua au vip?sasa wakuu wangu,huyu mmanzi,nimueleweje,au anataka kuniua mwenzenu?
Si uliomba mwenyewe,nenda kamtafune sasa!