Wakuu habarini, naomba ushauri ninademu wangu namuomba mzigo anasema hadi nikaonekane kwa wazazi wake, wakati hela ya matumizi natoa kila anapohitaji. Nitumie mbinu gani ili nimgegede? Na ninampenda sana nilimwambia aje home akaja na rafiki yake. Ushauri wenu wakuu!