shareef95nes
Senior Member
- Jan 16, 2013
- 108
- 16
Amri ya sita inasema Usizini
na wewe inaonyesha ukisha onja tu una potea,bora aendelee na msimamo huo huo!!na wewe kwa nini unataka kubip wakati itakuwa yako na utakuwa unaipiga utakavyo!!au siyo muoaji hivyo unataka kuchovya na kusepa!!!
Ki uhalisia hiyo haipo, we komaa nae tu..
shake well before use.. it is written!
mkuu unaweza kukutana na kitu ambacho hujakitarajia huko kikakukatisha tamaa!!!mara nyingi japo si mara zote wanao megana kabla huishia kuachana!hamna bro nikichovya sisepi!!,i really luv her
ha ha ha!haya ma misemo unadhani yana maana sana kuna jingine linasema practice make perfect ndo jamaa wengi wanalitumia!!!shake well before use.. it is written!
Amri ya sita inasema Usizini
huyo ni bonge la mtu take care usimpoteze kwa papara zako,,big up mkuu.:target:
Amri ya Sita ya Biblia inasema Usiue na ya saba inasema USIZINI mkuu.
Anyway, shareef95nes, huyu ndiye binti afaaye, kama una uhakika utakuwa naye/unataka kuwa naye, huna haja ya kuwa na wasiwasi, mtakaa faragha hadi mpeane pumziko!