Hataki kuolewa na mimi msaada tafadhari

kosa ulilofanya ni kumwambia unataka kumuoa,hvy vitu vinakuja vyenyewe,yeye mwenyewe usema kama ashakupa sana penz,atatamani ndoa,
 
nenda kona bar utawaona wakuwaoa wengi tu
 
Bia ofa...sawa ndoa ofa si sawa muhudumu niongeze ofa hii inatoka kwa mtoa ofa za bia mpaka ndoa
 
NDOA HAILAZIMISHWI. TAFUTA MWINGINE. HUENDA ULIMTILOA BIKIRA AKIWA HAJAJITAMBUA NA SASA HAONI KAMA WEWE NDIYO SASA KWAKE. HUWEZI LAZIMISHA. HUENDA KESHAPATA MWINGINE AMBAYE AMEKULINGANISHA NAYE.NA SASA HAKUTAKI. ILA MAISHA INABIDI YASONGE MBELE.
 
Kwa kauli zako hata Mie ningekataa,eti nimempa ofa..we hata maana ya ndoa hujui na huyo mwanamke amekushtukia kua wewe Ni jipu
 

Hivi umetafakari haya uliyoyaandika??
Umempa offer ya ndoa!!!
Hahahaah duh hii hatari sana au unajua ndoa ni kulalana pekee? Japo pia sijaoa lakini siwezi kuwa na mawazo fukara kama haya
 
Hiv wanawake wote hao waliojaa hujaona mpaka unamlazimisha mtu akubali kuolewa na ww seriously!!!
 
Usimlazimishe punda kubeba contena, kumbuka majuto ni mjukuu .... Na kila likuepukalo ni kheri...
Tafakari, chukua hatua
 
pole kaka yangu ndoa sio ofa kama inavyotolewa bia kwa mtu...inaonekana hujui maana ya ndoa ..wew halafu nawasiwasi na wew huenda ni kivulana..hivi wale form six bado hwajaenda chuo eeh
 

Hata mi ngekataa,sbb ndoa sio OFA ni mpango kamili wa Mungu!

Ofa wanapewa watu bar huko nk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…