Mkuu tatizo kila Leo shida na nimemtengeneze bima ya Afya tena ile vip lakin wap wana kaa ukoo kwao kakubwa mnoKwa upande wangu si vibaya msaidie kama kweli yupo kwao.
Msaidie ila uwe unaweza mipango ya wewe kumweka ndani..
Au na wewe unampango wa kumpa mimba na kusepa tena..!?
Alishatotoa dume suruali,dume lisirojua kuhonga,[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]kwahiyo unamuona mwenzio incubator sio?
Mkuu tatizo kila Leo shida na nimemtengeneze bima ya Afya tena ile vip lakin wap wana kaa ukoo kwao kakubwa mno
Incubator looh ? Hii mpyakwahiyo unamuona mwenzio incubator sio?
Nimeipenda iyo.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]kwahiyo unamuona mwenzio incubator sio?
Mkuu mbona umeenda mbali sana?embu toa ushauri wa kujenga.kwahiyo unamuona mwenzio incubator sio?
ndo hivo kishaweka mayai kwenye incubator sasa anataka vifarangaMkuu mbona umeenda mbali sana?embu toa ushauri wa kujenga.
issue ni kila kitu mim kila mtu analeta shida kwangu hapo bado sijammuoa je nikioa s ndio watahamia kwangu haoKwa hiki unachojibu wadau humu inaonekana hauna uwezo wa kulea mtoto ila showoff tu kwamba unamtoto wa kiume acha masiala kwenye malezi. Kwanza huyo mdada inaonekana hakupendi ndio maana unahangaika kama mkojo wa bia,tulizana. Mkatie bima akiwa kwao,bima inatumika kwa mtu mmoja sio familia nzima.
issue ni kila kitu mim kila mtu analeta shida kwangu hapo bado sijammuoa je nikioa s ndio watahamia kwangu hao