Senorita23
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 390
- 489
Nilimpa nafasi ajirekebishe na kumuonya,na alivyozidi nikamuacha ila akaja akaomba msamaha mbele ya ndugu yake ila cha ajabu bado anaendelea
Mkuu sina mengi ya kusema,wala sitaki kujisifia nilitamani kukuPM lakini nakujibu hivi
Nina Biashara zangu na nina supply maji na vipodozi mikoani mbali na hapo nimeweka usafiri barabarani so kwa siku ninachokipata ni siri yangu,naofia kuwa kama MO.
siku njema
Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?
Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?
Jamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu
Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye
Kipindi tukiwa kwenye mahusiano mara kwa mara nimekuwa nikimfumania anawasiliana na ex wake,na nilivyofuatilia ex wake ana mwanamke mwingine
Nikamuonya akawa anasema wanawasiliana kawaida,kirafiki maana waliachana bila kugombana
Mimi nikakataaa hayo mawasiliano yao,nikataka yavunjike,ila baada ya miezi kadhaa nikakuta meseji ya kugombana na ex wake akimtuhumu kuwaweka wanawake kwenye dp yake
Nikagomba,na nikavunja mahusiano maana hakunielewa na ,ila baada ya wiki akaja akaniomba msamaha ,akakiri kosa,na akaahidi mbele ya dada yake kuwa hatarudia tena kuongea na ex wake
Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?
Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?
Kwa nini uulize hivyoWe wa Dar au mkoani?
Sasa wa nn huyo au hujui watu wa kagera tabia yao mkuu?Jamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu
Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye
Kipindi tukiwa kwenye mahusiano mara kwa mara nimekuwa nikimfumania anawasiliana na ex wake,na nilivyofuatilia ex wake ana mwanamke mwingine
Nikamuonya akawa anasema wanawasiliana kawaida,kirafiki maana waliachana bila kugombana
Mimi nikakataaa hayo mawasiliano yao,nikataka yavunjike,ila baada ya miezi kadhaa nikakuta meseji ya kugombana na ex wake akimtuhumu kuwaweka wanawake kwenye dp yake
Nikagomba,na nikavunja mahusiano maana hakunielewa na ,ila baada ya wiki akaja akaniomba msamaha ,akakiri kosa,na akaahidi mbele ya dada yake kuwa hatarudia tena kuongea na ex wake
Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?
Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?
😀😀huwezi jua anachopewa maana si bureNakushauri ujinyonge hadi kufa au nyofoa hizo kende zako zote,Huu ni uzuzu kweli wewe nawe ni mwanaume kweli!?
We jamaa una mda mpaka za kuwaza pamoja na yote hayo,achana nae ,wanawake ni wengi kwanini upote nda wako kwa mwanamke ambaye hakuelewiJamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu