Asanthakufai huyo fanya hamsini zako...hakunaga awali mbovu so mwenzio bado anaikumbuka awali yake....shtuka mangi.
Kwa hiyo mkuu unataka na mimi nifanye kama yeye ili tutoke drooWewe huna x wa kuwasiliana nae?
Nilimpa nafasi ajirekebishe na kumuonya,na alivyozidi nikamuacha ila akaja akaomba msamaha mbele ya ndugu yake ila cha ajabu bado anaendeleahizi mambo ndo mimi huwa sitaki kuziendekeza!! kile kitendo cha kukamatwa mara ya kwanza ndo kumuacha hapo hapo huwa sifikirii mara mbili mbili
Asant nkuu[emoji41]jibu unalo she's still in love wth her Ex auna chako apo ana cheza karata mbili [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu we ni mangi??Asant
Usipate tabu nenda kwa huyo mchumba au mke wa huyo jamaa mtongoze nawe mega kisela baada ya hapo mpige chini huyo mwanamke wakoJamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu
Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye
Kipindi tukiwa kwenye mahusiano mara kwa mara nimekuwa nikimfumania anawasiliana na ex wake,na nilivyofuatilia ex wake ana mwanamke mwingine
Nikamuonya akawa anasema wanawasiliana kawaida,kirafiki maana waliachana bila kugombana
Mimi nikakataaa hayo mawasiliano yao,nikataka yavunjike,ila baada ya miezi kadhaa nikakuta meseji ya kugombana na ex wake akimtuhumu kuwaweka wanawake kwenye dp yake
Nikagomba,na nikavunja mahusiano maana hakunielewa na ,ila baada ya wiki akaja akaniomba msamaha ,akakiri kosa,na akaahidi mbele ya dada yake kuwa hatarudia tena kuongea na ex wake
Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?
Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?
Seriously haujui anatafuta nini kwa x wake? Au umeamua kujitoa ufahamuJamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu
Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye
Kipindi tukiwa kwenye mahusiano mara kwa mara nimekuwa nikimfumania anawasiliana na ex wake,na nilivyofuatilia ex wake ana mwanamke mwingine
Nikamuonya akawa anasema wanawasiliana kawaida,kirafiki maana waliachana bila kugombana
Mimi nikakataaa hayo mawasiliano yao,nikataka yavunjike,ila baada ya miezi kadhaa nikakuta meseji ya kugombana na ex wake akimtuhumu kuwaweka wanawake kwenye dp yake
Nikagomba,na nikavunja mahusiano maana hakunielewa na ,ila baada ya wiki akaja akaniomba msamaha ,akakiri kosa,na akaahidi mbele ya dada yake kuwa hatarudia tena kuongea na ex wake
Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?
Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?
"Jasiri haachi Asili"Nilimpa nafasi ajirekebishe na kumuonya,na alivyozidi nikamuacha ila akaja akaomba msamaha mbele ya ndugu yake ila cha ajabu bado anaendelea
Kanywe balimi ukimaliza lia mpaka hasira ziishe. Alafu msamehe tenaJamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu
Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye
Kipindi tukiwa kwenye mahusiano mara kwa mara nimekuwa nikimfumania anawasiliana na ex wake,na nilivyofuatilia ex wake ana mwanamke mwingine
Nikamuonya akawa anasema wanawasiliana kawaida,kirafiki maana waliachana bila kugombana
Mimi nikakataaa hayo mawasiliano yao,nikataka yavunjike,ila baada ya miezi kadhaa nikakuta meseji ya kugombana na ex wake akimtuhumu kuwaweka wanawake kwenye dp yake
Nikagomba,na nikavunja mahusiano maana hakunielewa na ,ila baada ya wiki akaja akaniomba msamaha ,akakiri kosa,na akaahidi mbele ya dada yake kuwa hatarudia tena kuongea na ex wake
Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?
Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?
Chama gani mkuuYupo chama la wana