Hata wewe yangekushinda

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,170
Reaction score
43,976
Aisee hakuna changamoto kubwa kama kuishi na ndugu wa mume na wakwe kwenye nyumba mojaa, kweli kiba na ufisi wao maana walimlaa Gigy yeye na abdukiba sasa leo hii huu undugu wa kujazana sehemu moja si balaaa hilii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani usifanye kitu nduguu hao wanakosoa mamaee ustar mzigo ndo alikiba!

Mke wa kiba akienda uwani usiku hivi ndo vile ndugu wa kina wanamtasmini...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
 
Haipendezi hata kidogo, lakini, je Mke kabla hajaolewa hakuna hill tatizo?
Maana ni ngumu kufukuza watu ulowakuta.mwanamke ilibidi kabla ya kuolewa aongee na Mme wake, kiba angetafuta sehemu ya kuweka Mke.ndugu wakabaki pale.
Ni mtizamo wangu.
 
May be hakujua
 
Hii ndo njia sahihi...angewaachia nyumba ndugu zake kama Mondi alivyofanya[emoji23]
 
Kwa hiyo na wewe ukiolewa kwenye ndoa kama hiyo utashindwa?
 
Haipendezi hata kidogo, lakini, je Mke kabla hajaolewa hakuna hill tatizo?
Maana ni ngumu kufukuza watu ulowakuta.mwanamke ilibidi kabla ya kuolewa aongee na Mme wake, kiba angetafuta sehemu ya kuweka Mke.ndugu wakabaki pale.
Ni mtizamo wangu.
Na inawezekana aliwaona ila akawa naiman kuwa watakuwa sawa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…