Hata Wamarekani wanaiga!

Huyo mbongo alivaa skin tight Criss brown kavaa jeans lazima kuna tofauti
 
wapiii machaliii...swagaaaa ni bongo.arachugaa ni old skul
 
Huyo mbongo alivaa skin tight Criss brown kavaa jeans lazima kuna tofauti

mkuu chalii katupia m bano.yani ki ko ndo muu arachuga tumevyaa kitambo kinyama erooo.na raba au simple ndefu mbele imetunaa na sharti kama hilo zamani tulikuwa tunaita snopiiii dogiii juu umetupia kapero uso wa mee.hiyo mosheni sasaa unaswing 2pac cha mdoli nyuma umetupia deleki inachungulia.acha wewe etiii saa hi bongo dar es salaam mabisho wanaita vimodo hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…