Hata Uchaguzi ukipita siwezi kusoma vichwa vy habari vya haya magazeti

Mimi nimeyafutilia mbali kwichwani mapia katika kununua na pia baadhi ya radio na tv.
 
Umenena mkuu nikinunua ujue nimeishiwa ges ya kupikia au umeme umekata bas ntayanunua hayo kwaajili ya kuwashia moto kwenye mkaa....
 
Raia Mwema ni gazeti makini pamoja na mdogo wake Raia Tanzania....

Punguza mahaba
 
Wasichojua wamiliki na wahariri wa vyombo hivyo ni kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi.Hapo namba 7 ongeza STAR TV
 
Kwa upande wangu nitafuatilia taratibu za kisheria ili nitoe hoja za kulifungia kabisa hiki kipeperushi cha Tanzania Daima.
Asanteni
 
TV - channels: Star Tv, TBC..........

Redio Stations: RFA, TBC FM, UHURU REDIO,.....

Newspapers: ..........................
 
....kati ya hayo, Raia mwm ndo limeniangusha sana! 7. Tanzania daima

Raia Mwema kwa sasa linaendeshwa kwa remote ya Uhuru publications. Kila anayemjua vizuri kamwaga atasema vizuri kuhusu yeye.
 
1.Raia Mwema
2.Jambo Leo
3.Habari Leo
4.Raia Tanzania
5.Daily news
6.Zanzibar Leo.
7.


Achilia mbali vipeperushi vya Uhuru ,Mzalendo,Tazama Tanzania na HOJA ambayo yanajulikana kwa udaku wake.

Soma magazeti makini ya chaggadema ambayo kwayo CCM haijawahi kufanya JEMA wala Chaggadema haijawahi kukosea.Usisahau kupata makala za Kumponda Zitto na ACT Wazalendo na kumfagilia Lawassa. 1.MwanaHALISI 2.Tanzania Daima 3.Jamhuri media( Cc Manyerere Jackton 4.Mawio(Watunzi wa HEKAYA,FITNA na AMENUNULIKA na Kusingizia USALAMA WA TAIFA).
 
Last edited by a moderator:
1.Raia Mwema
2.Jambo Leo
3.Habari Leo
4.Raia Tanzania
5.Daily news
6.Zanzibar Leo.
7.


Achilia mbali vipeperushi vya Uhuru ,Mzalendo,Tazama Tanzania na HOJA ambayo yanajulikana kwa udaku wake.

Uhuru na yote ya Shigongo
 
1.Raia Mwema
2.Jambo Leo
3.Habari Leo
4.Raia Tanzania
5.Daily news
6.Zanzibar Leo.
7.


Achilia mbali vipeperushi vya Uhuru ,Mzalendo,Tazama Tanzania na HOJA ambayo yanajulikana kwa udaku wake.

Umesahau Tanzania daima Mtanzania Mwanahalisi na Mawio
 
Back
Top Bottom