donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Sep 10, 2013 #1 Naona hawa ma afande ambao wako chini ya jeshi la umoja wa mataifa wana burudika kidogo na kucheza. Nafkiri walikua wanacheza: "Tulimugate mwa Yesu tukwinoma tukwinoma" Attachments agfande.jpg 22.4 KB · Views: 184
Naona hawa ma afande ambao wako chini ya jeshi la umoja wa mataifa wana burudika kidogo na kucheza. Nafkiri walikua wanacheza: "Tulimugate mwa Yesu tukwinoma tukwinoma"
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Sep 10, 2013 #2 Vipi hawa ni mashujaa wetu walioko Goma
paradiso JF-Expert Member Joined May 18, 2012 Posts 1,021 Reaction score 356 Sep 10, 2013 #3 hiyo inaitwa 'kiwasenza'