KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Habarini wana JF,
Nina rafiki yangu wa kike tulisoma nae elimu ya sekondari tulipendana kama marafiki na alikuwa akinipenda sana ila mimi sikumpenda kimapenzi japo ni mzuri,miaka minne imepita sikuwa na mawasiliano nae kwa sababu nilikuwa mbali nikiendelea na masomo ya juu, yeye yupo Arusha na mimi nilirejea Dar,akapata mawasiliano yangu tukawa tunawasiliana alilalamika sana sababu sikutaka kumtafuta,akaanza kuniomba vocha,pesa vyote nilimsaidia kibinadamu.
Nimekuja kushtuka jana baada ya kuniambia baby naomba hela nikanunue kuna nguo nimeipenda halafu wiki ijayo nakuja.
Msaada jaman na mimi nina mpenzi wangu.

kwa wewe ninavyokujua labda nikukopeshe na tunaandkishana kabisa kwa mwanasheria ili ukinizingua nuza kamjengo.Siwezi kununua papuchi bei gali hivyo,kwani ina Gold?
kwa hiyo akishamkojolea ndo inakuwa heshima au?
pesa makaratasi starehe garama si tatizo nitumie picha na address nitakufata popote ulipo wala sikuambii uje meeda wala bilcanPapuchi yangu we ni tamu sana .... wanasema dont try this utaganda mkuu na kujifilisi mwenyewe .... kuna papuchu uwezi ipa hadhi ya madini we acha kabisa
pesa makaratasi starehe garama si tatizo nitumie picha na address nitakufata popote ulipo wala sikuambii uje meeda wala bilcan
mkuu ni binti mzuri kaumbika sana tatizo simtamani kimapenzi hata kidogo.Kuhusu suala la namba nisamehe bure itakuwa si ungwana
pigia mstari
Habarini wana JF,
Nina rafiki yangu wa kike tulisoma nae elimu ya sekondari tulipendana kama marafiki na alikuwa akinipenda sana ila mimi sikumpenda kimapenzi japo ni mzuri,miaka minne imepita sikuwa na mawasiliano nae kwa sababu nilikuwa mbali nikiendelea na masomo ya juu, yeye yupo Arusha na mimi nilirejea Dar,akapata mawasiliano yangu tukawa tunawasiliana alilalamika sana sababu sikutaka kumtafuta,akaanza kuniomba vocha,pesa vyote nilimsaidia kibinadamu.
Nimekuja kushtuka jana baada ya kuniambia baby naomba hela nikanunue kuna nguo nimeipenda halafu wiki ijayo nakuja.
Msaada jaman na mimi nina mpenzi wangu.
I can testify to that...teeeh!!!Papuchi yangu we ni tamu sana .... wanasema dont try this utaganda mkuu na kujifilisi mwenyewe .... kuna papuchu uwezi ipa hadhi ya madini we acha kabisa
Si umwambie tu usije mi nina mpenzi wangu, apologies if u misunderstood me! Issue mbona simple tu, au mi ndo nipo too direct...?!