Hata siamini kama nimenasa

Duh we mkali. Pamoja na ugeni wako umeduu cku hiyohiyo
 
Ndomu mnaikumbuka au kubalasana kwa kwenda mbele. Liwa bwana huku kwenye mavumbi na mbu kunazingua
 
vyangu me, myself and I, I dont belong to anybody but myself. Kutwa kucha kuniuliza vyangu fanya vyako kama huna kalale.
Kasinde is me is my life, will never change but keep on enjoying life, fyoko fyoko mfyokoe pweza Kasinde hutomuweza, na hakuna aliye wala atakayemuweza... JFYI
 
Kifaranga ana warn jogoo?!!!

Hahahahaa ndo utashanga gagulo linaning'inia sketi iko juu, its like mwanafunzi kapata PhD while mwalimu bado anadegree na anafundisha A level!!! Kasinde ndo huyooo...:dance::dance: playing makida makida makida nselele
 
Mtoto kwa mzazi hakui na sikio halipiti kichwa...
Bado unahitaji tuition kutoka kwangu
 
Mtoto kwa mzazi hakui na sikio halipiti kichwa...
Bado unahitaji tuition kutoka kwangu

hahahhahahaaaa u!! teach me!!, nah I cant siko mtulivu hata kidogo, kama ni makwenzi ntakula hadi unipasue utosi. Niko kichwa ngumu mnoo

You are not older than me I know that, and always wanaolilia kuwa wakubwa they are under age na tunaoutaka ujana huwa tuko over age hata ya kuwa humu jf, for that say nirudishie shkamoo yangu na uniamkie, am your auntie....!!!:A S wink:
 
Hahaha... sasa we mtoto naona nimejiachia.kwako hadi wataka kunipandia kichwani e? Wapi bakora nikufunze adabu...
 
..nimeuliza au mwenyewe umevileta huku?...
au wataka kila mtu akusifie kwa "mema" unayowatendea "wamarekani"? Lol
....usijetumia *Verizon wireless* tu manake kwa spidi hiyo, na wanavyopenda hao wenzetu..!!
 
..nimeuliza au mwenyewe umevileta huku?...
Au wataka kila mtu akusifie kwa "mema" unayowatendea "wamarekani"? Lol
....usijetumia *verizon wireless* tu manake kwa spidi hiyo, na wanavyopenda hao wenzetu..!!

wtfaut??
 
Hahaha... sasa we mtoto naona nimejiachia.kwako hadi wataka kunipandia kichwani e? Wapi bakora nikufunze adabu...

Weeeiiy!! how could u jiachiaring hivo kwangu ukidondoka je? am driving fast dont expect I will stop the car or catch u, if u fall is at ur own risk and cost. Am not a kid am older than u and thats it. U said what!! bakora hahahahaha dont kid me pls, with that no yaani nisimame tuu nakuangalia unanicharaza na bakora naniii, thank God jogging nnayofanya inanipa pumzi ya kukimbia hunipati ng'ooo hahahahahahaaaa ukiweza nikimbize looh :llama:
 
From crash to struck,another mjini msingi kiuno
 
JOH MAKINI ANASEMA -NAJIONA MIMI
''Baba nikiwa club nakunywa local biaa, naomba mziki unaopigwa uwe local piaa...''
 
JOH MAKINI ANASEMA -NAJIONA MIMI
''Baba nikiwa club nakunywa local biaa, naomba mziki unaopigwa uwe local piaa...''
BAK naomba huu wimbo tafadhali pls if u dont mind, sorry kama ntakuwa nimekuamsha usingizini...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…