Una uhakika aliumia baada ya mkataba wake kuisha? Mchezaji anaitumikia timu kwa moyo! Anaumia akiwa kazini! Mkataba wake unamalizika, mnamtelekeza!!
Mnashindwa hata kujifunza kwa kaka zenu Yanga!! Walimhudumia Mapinduzi Balama kwa kila kitu mpaka pale alipo pona kabisa, ndipo wakampa mkono wa kwaheri.