Huyu mchezaji sikumbuki kama aliachwa Simba au bado yupo. Ila ni muda sana sijamsikia. Mpaka nilipokuja soma hii post. Je kwenye mpira ndo basi tena? Je simba ndo basi tena?
Hivi usikute mashabiki wa simba hawajui hata alipo huyu aliyekuwa mchezaji wao muhimu kwenye kikosi chao! Ila ukiwauliza kuhusu Kambole, wanakijua mpaka chumba anacholala.

Una uhakika aliumia baada ya mkataba wake kuisha? Mchezaji anaitumikia timu kwa moyo! Anaumia akiwa kazini! Mkataba wake unamalizika, mnamtelekeza!!
Mnashindwa hata kujifunza kwa kaka zenu Yanga!! Walimhudumia Mapinduzi Balama kwa kila kitu mpaka pale alipo pona kabisa, ndipo wakampa mkono wa kwaheri.