hebu jaman 2ache masihara kaz ninayofanya na wa2 wanaonizunguka ndo wananipa haya na asilimia kubwa ni wa2 wangu wa karibu jaman jaman
kaka vip mbona kimya huwa sipend kuwa muongo mana ninaamin hapa ndo sehemu ya kupata ushaur kabisa mana kama nitakuwa ninafanya masihara na utan ninafikir wapo wengne ila haya yote niliyoyasema ni watu yamewatokea na mengne yamenitokea mimi mwenyewe kama lile na yule bint wa mdogo wangu na mwengne hvyo ninaamin hapa co sehemu ya kureta masihara wala utan. Kaz ninayofanya ndo inanipa changamoto kama hz. Na pia kuaminika kwangu ndo pananisaidia hv
MUREFU imeonesha huna infor kamili la tatizo zima... Kama rafiki wake wa kweli na anahitaji msaada kwako its beta akwambie kweli...
mpendwa kusema ukwel ninafanya kaz ya tax driver magomen hvyo huwa ikifika jion au nikiwa nimechoka huwa ninaweza kubadil kijiwe na kwenda kwngne hvyo kule ninapokwenda kupak ninakutana na wenzangu tofaut tofaut na siku nyngne ninaweza kupata day waka ya magar ya mzigo kwenda mkoan hvyo nikikutana na marafik zangu na kunawengne unaweza usiwaone cunajua kaz zetu hv hvyo ukifika hapo kama hayupo unamuulizia. Kama kakumbwa na maswaiba ndo wanakueleza. Asilimia kubwa huwa wananieleza mimi ni jins gan niwasaidie kutokana na kuaminika sana na huwa sina tabia ya kumwaga ukwel wa mtu na ndo mana unaona kila siku ni mimi na stor mpya sawa MPENDWA
kusema ukwel yeye alichonieleza ni hcho na mm nimekisema khs lingne. Mm cjui labda anifiche yeye mana ni dereva mwenzetu alitoweka muda kumbe ndo yalimtokea hayo na amerud ameniambia hakuna anaejua zaid ya mm. Yeye huwa anapaki ubungo stend ya mkoa sasa cjui kama anamengne ila cjui zaid ya alichonieleza
hebu jaman 2ache masihara kaz ninayofanya na wa2 wanaonizunguka ndo wananipa haya na asilimia kubwa ni wa2 wangu wa karibu jaman jaman