Uchaguzi 2020 Hashimu Rungwe: Nikiingia Ikulu ntauza magari yote, ma DC watatembelea Defender

torosi

JF-Expert Member
Aug 12, 2020
788
1,308
Wapwa
Nilikua naangalia TBC hapa, mbatia kaanza kutema cheche wakakata fasta wakapeleka kwa rungwe

Huku rungwe anasema elimu bure tunadanganywa, gharama bado ni nyingi na mzigo kwa watanzania

Rungwe anasema, akiingia ikulu atauza gari zote za kifahari na viongozi kama ma DC watatembelea gari za kawaida kama Defender

Nimeipenda hii
 
Huyo kasema atachimba mfereji kutiririsha maji ya bahari kwenda Dodoma si ni uchizi fresh huo
 
Wapwa
Nilikua naangalia TBC hapa, mbatia kaanza kutema cheche wakakata fasta wakapeleka kwa rungwe

Huku rungwe anasema elimu bure tunadanganywa, gharama bado ni nyingi na mzigo kwa watanzania

Rungwe anasema, akiingia ikulu atauza gari zote za kifahari na viongozi kama ma DC watatembelea gari za kawaida kama Defender

Nimeipenda hii
Wali upo?
 
Butiama, Mara
Tanzania

Sera ya chakula kwa watoto wa shule yaungwa mkono

Mkurugenzi Amina Mgeni wa PCI afurahia juhudi za kumrudisha mtoto shule kwa kumpatia chakula , utoro shuleni umepungua sana na maendeleo ktk uelewa wa masomo darasani kupanda sana hivyo shule kuwa na mazingira-pendwa kwa watoto.
 
Back
Top Bottom