Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Baada ya wagombea bora kuenguliwa CCM na Chadema kumfanyia Dr. Slaa Mizengwe, nililazimika kumpigia Hashim Rungwe Kura, ingawa sijawahi kumsikia akiongea wala sera zake sizijui. Nilifanya hivi kutokana na hasjra nilizokuwa nazo ndani ya chama changu CCM.
Leo nasikitika kusikia matamshi ya Rais, cadi makanisani anawarushia maneno ya ajabu vile. Wahanga wa tetemeko ndio kabisaa....kawatasha tamaa. Sijui ni wapi rais ataongea bila kuwashangaza watu. Hashim Rungwe sijutii kura yangu kwako.