Sasa hapo mbona wanawaaibisha wenzao...!??, mie sipigi nae picha vinginevyo akubali kukaa chini.au kuchuchumaa, hataki anaacha, anakosa promo ya kupiga picha na mie
He's currently standing at 7feet 3inches tall....hakuwi tena zaidi ya hapo maana sidhani kama ana matatizo ya growth hormones...yeye ni natural born giant