Hasheem Thabeet: Mchezaji Mrefu NBA kwa sasa...

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,371
Reaction score
111,682
Born: February 16, 1987 Dar es Salaam, Tanzania
Nationality: Tanzanian
Height 7 ft 3 in (2.21 m)
Weight: 119 kg




 
Compare your height (in feet) with his....unafika hata kwapani???

 
Hivi kweli urefu unamsaidia huyu jamaa? Mbona naskia kuna kipindi alidorora mpaka akashushwa daraja
 
Hajaweza bado kutambua kuwa urefu wake ni a BIG PLUS...ila siku za karibuni ameanza kuimprove baada ya kuhamia Oklahoma City Thunder

Hivi kweli urefu unamsaidia huyu jamaa? Mbona naskia kuna kipindi alidorora mpaka akashushwa daraja
 
Huyu dogo kilema wa urefu nini?
 
Angekuwa na hasili ya US au EU, huyu jamaa angefanyiwa promo ya nguvu kweli na dunia nzima macho yangekuwa kwake. Lakini kwa kuwa ni 'mmakonde' kinachotakiwa na juhudi binafsi...
 
Vichocheo vya ukuaji vinapotolewa kwa wingi na Tezi za Pituitary ndio hupelekea mwanadamu kuwa na mwili mkubwa namna hiyo...

Huyu dogo kilema wa urefu nini?
 
Akiwa college alipigiwa sana upatu na vyombo vya habari vya US kwani performance yake kwenye Ligi ya Kikapu ya Vyuo ilikua juu...
Kama angeendeleza moto ule ule hadi NBA hakika tungekua tunazungumza habari nyingine sasa...

Angekuwa na hasili ya US au EU, huyu jamaa angefanyiwa promo ya nguvu kweli na dunia nzima macho yangekuwa kwake. Lakini kwa kuwa ni 'mmakonde' kinachotakiwa na juhudi binafsi...
 

Sasa hapo mbona wanawaaibisha wenzao...!??, mie sipigi nae picha vinginevyo akubali kukaa chini.au kuchuchumaa, hataki anaacha, anakosa promo ya kupiga picha na mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…