Haina sio 4WD.. Ila wakati wa mavuno ni wakati wa kiangazi Mara nyingi.. Nafaka karibuni zote mkuu.. Kama ngano,maharage,mpunga,mahindi nk.fanya kautafiti hata kwenye youtube mazao unayotaka kuvuna.. Huwezi kutoka kwenye kilimo kama hujawa na zana za uhakika za kutoa mazao yako shambani usijidanganye..